Kwa hii nyomi ya Diamond platnumz wa enzi hizo kuna kitu inabidi ajifunze...

Weka na ya Kiba ya zamani na ya sasa tuone kama zina tofauti.
Mwenzio siku hizi yuko pia kidijitali zaidi. Views zinamlipa mtandaoni.
 
Mtu unakaa masaa kibao kumuangalia tu binadamu mwenzako
Life is not fair
 
Mtu unakaa masaa kibao kumuangalia tu binadamu mwenzako
Life is not fair
Kama wewe hivi ulivotumia bando lako na muda wako kuangalia nini kimeandikwa humu.... waswahili ni noma sana, walijua kuna watu km nyie ndo maana wakaleta msemo wa "Nyani haoni kundule"
 
Kumbe imekutachi Sasa nasema hivi wewe Ni bogas bin mapapai
 
Kama wewe hivi ulivotumia bando lako na muda wako kuangalia nini kimeandikwa humu.... waswahili ni noma sana, walijua kuna watu km nyie ndo maana wakaleta msemo wa "Nyani haoni kundule"
Hao waswahili tu misemo yao inakinzana kimawazo..Bado waiamini misemo yao
 
Labda kwa upande wako .. yeye kila anapokwenda anajaza viwanja .
Kwema wangundu

Licha ya msanii diamond platnumz kunufaika kimziki, kwa sasa inaonekana.. Hana tena ile ladha kama hapo awali.

Je ni kweli..
 
Ndio maana JF threads 1200000 na memba hawazidi laki tano
 
Mkuu apo Kuna mmoja ungemtoa kisha umuweke saida kalori
Kiba hastahili kuwepo hapo maana umaarufu wake umechagizwa na 'mgongo' wa bifu la Diamond, before that alikuwa msanii maarufu wa kawaida tu kama walivyokuwa kina Marlaw
 
Anayemtumia akimchoma anampandisha mwingine,

Juma nature

Mr Nice

Ali Kiba

Diamond

Hao ndo watu waliowahi kuwa na umaarufu uliopitilizaa
Hapo kwa Ali kiba hapana sijawahi kuushuhudia huo umarufu wake labda uniambie ilikua miaka gani?
 
Bado natafakari! Kama naona ukweli fulani hivi. Maana hata ngoma yake aliotoa na wale Wajamaika,siku ya 10 leo bado anajikongoja kutafuta 1M views. Au kwa sababu kashirikishwa au wimbo siyo nzuri? Lakini
 
Mtu unakaa masaa kibao kumuangalia tu binadamu mwenzako
Life is not fair
Kama wewe hivi ulivotumia bando lako na muda wako kuangalia nini kimeandikwa humu.... waswahili ni noma sana, walijua kuna watu km nyie ndo maana wakaleta msemo wa "Nyani haoni kundule"
Hapa kuna lugha gongana bila shaka. Kuna mmoja hajamuelewa mwenzake, kakurupuka tu kumshambulia
 
Watu wako busy na maisha ya baba Jesca ya kujenga viwanda, saivi nyimbo wanaskilizia kwa Smart phone tuu na kwenye frash disk through Tv

Ingawa akitinga ukumbini raia nyomi sana lazima zijaze robo tatu ya uwanja ile mtu bado inakubalika sana kwa nyimbo nyingi sana ata kama sio zote.

Saivi bado ndo king of bongo fleva hajapata wa kumshusha tusubili awamu nyingine ya uchaguzi 2025 uko after baba Jesca kurudi chato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…