Kwa hii pesa 10 ml ni biashara gani naweza fanya

Kwa hii pesa 10 ml ni biashara gani naweza fanya

p'ner

New Member
Joined
May 20, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Habari wana jamvi,kutokana na ajira kuwa ngumu familia imeamua kunipa mtaji wa milioni kumi ili niweze kujikwamua kiuchumi,naombeni msaada wa mawazo ni aina gani ya biashara na mchanganuo wake.Asanteni
 
Ndugu aina ya biashara inategemeana upo maeneo gani, Ungesema unatarajia biashara yako itakuwa wapi, Je ni mjini au kijijini?, Funguka zaidi ili upata ushauri fasaha toka kwa wadau wa JF.

Kwa vile una milioni 10, Target biashara ya mtaji kati ya milioni 3 hadi 7. Kwa kuanzia.

Ingia kwenye huu uzi:Mtaji: 10 Million TZS.., wamejadili kwa kina sana,[ Jumla ya Page 22, Comment zisizopungua 423].

Pia pata mawazo zaidi toka hapa: Nisaidieni nifanye biashara gani.nina mtaji wa 3,000,000/
 
Upo mji gani? Ni pm nikupe proposal moja ya mradi kwa hiyo pesa ambayo kila siku utakuwa na uhakika wa kulala na si chini ya laki 1
 
Kamanda nikupe dili la uhakika kuna kampuni moja inaitwa jibu hapo Arusha hembu nenda kama upo karibu watakupa dili maana huwa wanatoa riba 10% ambayo ni kama m1 kila mwezi huitaji ajira wala kazi
 
Kamanda nikupe dili la uhakika kuna kampuni moja inaitwa jibu hapo Arusha hembu nenda kama upo karibu watakupa dili maana huwa wanatoa riba 10% ambayo ni kama m1 kila mwezi huitaji ajira wala kazi

Kwa hiyo wao wanafanyia nini hizo hela zako?
 
Back
Top Bottom