Habari wana jamvi,kutokana na ajira kuwa ngumu familia imeamua kunipa mtaji wa milioni kumi ili niweze kujikwamua kiuchumi,naombeni msaada wa mawazo ni aina gani ya biashara na mchanganuo wake.Asanteni
Kamanda nikupe dili la uhakika kuna kampuni moja inaitwa jibu hapo Arusha hembu nenda kama upo karibu watakupa dili maana huwa wanatoa riba 10% ambayo ni kama m1 kila mwezi huitaji ajira wala kazi