Kwa hii picha nay wa mitego hakukosea.

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,786
Reaction score
5,963
Kuna wimbo wa kijana anaitwa NAY WA mitego una mistari inayosema 'makahaba wenye viwango wapo bongo muvi',kuna baadhi ya wasanii wa bongo muvi kama HEMED,SHAMSA FORD,SINTA N.K walimtukana sana NAY kwa mistari hyo huku wakisema ni uongo..

LAKINI JE KWA PICHA HII AMBAYO IMEPIGWA JUZI TU KWENYE JUKWAA MOJA LA TAMASHA LA FIESTA LINALOENDELEA HAPA NCHINI,KUNA ATAKAEBISHA JUU YA KAULI HIYO YA NAY.?



HAPA AUNT EZEKIEL AMEVAA KIGAUNI KIFUPI HUKU AKIKATA KIUNO,MPAKA CHUPI INAONEKANA KIDOGOO..
 

Haa mwee
 
Amevaa kigauni au tshirt tu? Mi sioni gauni hapo
 
Mmmmh! haya bwana. mpaka unayeangalia hii picha unaona aibu.
 
Sikuzote ukweli unauma sana,sasa kwa hali hiyo nini kiliwafanya wambwatukie kaka wa watu????au ndo ile methali ya nyani haoni_ _ _ _inapotumika????????
 
Sikuzote ukweli unauma sana,sasa kwa hali hiyo nini kiliwafanya wambwatukie kaka wa watu????au ndo ile methali ya nyani haoni_ _ _ _inapotumika????????

Alaf anataka kuolewa hv karbun..
 
Duuuh!laana.Hapo mimi ndo sielewi wanaume wengine wanatafuta vigezo gani kwa mke wa kumuoa,eti huyo naye anakaribia kuolewa...is it?of all the gals on earth huyu jamaa kaona huyundo anafaa kuwa mke?binti wa hivi ana thamani hata ya kumlipia trip moja tu ya Dubai?I am afraid I am primitive kama wake mnaowaoa ndo hao....aisee Anti Ezekiel ukipita mbele yangu na hivyo vinguo mi ntakumwagia bia,wambie na wenzako...NAY was 100% right...aaaarghhhh,kichefuchefu
 

Wajinga wasingekuwepo vibaya dukani visingenunuliwa,ndo maana wewe unaweza ukaenda dukani ukachagua t-shirt nzur,ukaiacha mbaya alaf ukija kesho ile mbaya hauikuti,manake kuna mjnga keshaichukua..
So tusishangae yeye kuolewa..
 
Ukiona wanakasirika kuambiwa hivyo ujue ni UKWELI maana ukewli daima unauma sana
 
naomba niulize labda mimi sijui sana, mavazi ya msichana yanaweza kuwa ishara au dalili za mtu kuwa ana tabia njema? hao malaya wa mombasa wanaovaa hijabu kama waaumini wa kiislam(ninja sytle) ukiwaona barabarani si tunawaona wanatabia nzuri na ukasema wanafaa kuwa wake bora? hao ni maoni yangu tu lakini kwa upande wangu vyovyote mtu atakavyovaa bora ni mtu mzima 18+ ukizingatia alikuwa kwenye burudani hapo na usishangae watu walimfurahia sana. so kila mtu na maisha yake nafikiri au wadau mnasemaje? naomba mnieleweshe labda sielewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…