babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Bado hamjasema paka msemeAcheni chuki wenyewe kwao kama wachezaji yaliisha isha...
[emoji382][emoji382]Ulipiga kelele wewe na nani?semea nafsi yako sio wingi,gadeem
Pumba[emoji382][emoji382]
HaswaAngevunjika miguu yote ingependeza sana
What goes around, cames around!, karma is real!.Karma is real.. cc Pascal Mayalla
Usiseme hivyooAngevunjika miguu yote ingependeza sana
Rafu mbaya sana hii ,atakuwa ni mcheza kung fuMsimu ulioisha alimkanyaga teke la usoni kiungo wa Yanga Sure boy nusura amuuwe na refarii alimwangalia tu. Hata kamati ya nidhamu ya TFF nayo haikuto adhabu yoyote.
Tulipiga kelele sana achukuliwe hatua za kinidhamu ikiwemo kufungiwa ila haikusaidia kitu kwani aliendelea na uchezaji wake wa Kung Fu huku akiumiza wachezaji wa timu pinzani.
Sasa Mungu sio Athumani, Wacha Karma ichukue mkondo wake
View attachment 2758487View attachment 2758488
NisemejeUsiseme hivyoo
Acheni chuki wenyewe kwao kama wachezaji yaliisha isha...