Mpwa yuko nyuma ya wakatiUsiwe na wasiwasi alishamuachia Lissu, sasa tunatafuta muungano na vyama vingine vya siasa ili mambo yanyooke zaidi.
Hivi Lissu ni mtu au mzimu? Yuko wapi huyo Lissu?Usiwe na wasiwasi alishamuachia Lissu, sasa tunatafuta muungano na vyama vingine vya siasa ili mambo yanyooke zaidi.
Lissu au Nyalandu au Membe - nani atamwachia nini nani!? Ni akina nani wanaweza kumwachia NANI hicho kiti cha kugombea urais kutoka kambi ya upinzani!? Tusubiri tuone au wewe unasemaje juu ya hili!?Usiwe na wasiwasi alishamuachia Lissu, sasa tunatafuta muungano na vyama vingine vya siasa ili mambo yanyooke zaidi.
Mimi naona isipokuwa serikali imkamata Lissu au kumzuia kugombea, Lissu ndiye atakayepeperusha bendera ya CDM kwani hadi sasa anaonekana mwenye mvuto zaidi ya Nyalandu na Membe. Umeona hata Mbowe sijamtaja kwani inaonekana wazi atajitoa mapema au pengine alishafanya hivyo kwani nasikia anagombea jimbo la Hai.Lissu au Nyalandu au Membe - nani atamwachia nini nani!? Ni akina nani wanaweza kumwachia NANI hicho kiti cha kugombea urais kutoka kambi ya upinzani!? Tusubiri tuone au wewe unasemaje juu ya hili!?
Hiyo ni tathimini yako fazili na mimi nina tabia ya kuheshimu mawazo ya kila mwana JF ingawa SIYO LAZIMA nikubaliane nayo; hivyo tusubiri tuone ingawa sidhani kama Membe atakuwa tayari kumwachia yeyote kati ya Lissu au Nyalandu nafasi ya kugombea urais mwaka huu kupitia muungano wowote. Membe angekuwa na subira ya namna hiyo, angesubiri 2025 kwa tiketi ya CCM, lakini kwa uchu wake alioonesha mwaka huu na hasa hasa akiamini bado ana visenti vya kumwaga kwa wapiga kura. Visenti alivyo vifisadi vya chenji ya RADAR na vile vya Libya. Anyway tuwe na subira wakati pia tukichangamsha akili zetu kwa HOJA mwanana, au siyo fazili?!Mimi naona isipokuwa serikali imkamata Lissu au kumzuia kugombea, Lissu ndiye atakayepeperusha bendera ya CDM kwani hadi sasa anaonekana mwenye mvuto zaidi ya Nyalandu na Membe. Umeona hata Mbowe sijamtaja kwani inaonekana wazi atajitoa mapema au pengine alishafanya hivyo kwani nasikia anagombea jimbo la Hai.
Nyalandu anafaa na anaweza kuchukua nafasi endapo Lissu hatagombea. Membe kugombea kwa ticket ya CDM inaonekana itakuwa vigumu mwaka huu ila akiweza kuacha kwa Lissu na kumuunga mkono Lissu katika "UKAWA",basi upinzani utakuwa na nguvu zaidi. Watu wengi wamechoka na wanataka mabadiliko, kama serikali haitacheza rafu, watu wategemee mchuano mkubwa sana mwaka huu pengine kuliko mwaka 2015.
Halafu ulivyohesabu za kwako ulipata ngapi?Striken all over the body & soul!πππππMbowe alipata kura laki sita mwaka 2005.