Pre GE2025 Kwa hiki Kitabu cha Erick Kabendela. Nashauri 2025 CCM au CHADEMA wamruhusu agombee Urais

Pre GE2025 Kwa hiki Kitabu cha Erick Kabendela. Nashauri 2025 CCM au CHADEMA wamruhusu agombee Urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Joined
Nov 2, 2023
Posts
83
Reaction score
251
Nimesoma kitabu chake. Nimecheka sana. sana. na nika conclude mwaka huu jamaa agombee tu Urais.

Jamaa ana mambo ambayo yanafaa kabisa kuwaongoza Watanzania. Nashauri mwaka huu tusifanye makosa.

Mtu kama kabendera atatusaidia sana. Ana exposure kubwa. Na anaaminika sana na wakubwa hasa usalama wa Taifa.
 
Back
Top Bottom