Nimesoma kitabu chake. Nimecheka sana. sana. na nika conclude mwaka huu jamaa agombee tu Urais.
Jamaa ana mambo ambayo yanafaa kabisa kuwaongoza Watanzania. Nashauri mwaka huu tusifanye makosa.
Mtu kama kabendera atatusaidia sana. Ana exposure kubwa. Na anaaminika sana na wakubwa hasa usalama wa Taifa.