sorry,
ivi kuna maradi wowote wa nyumba za nssf hapo soweto?nimesikia hii kitu redioni
nihabarishe
Arusha nyuma siyo shida kivyo na isitoshe kuna ufisadi mkubwa sana kuzipata hizo nyumba za soweto kuna wakati nilikuwa nazihitaji nikaambiwa nitoe Mil 2 nikamuuliza unaniuzia au ni kupanga tu akaniambia ni kupanga tu tena wasijue kama wewe ndiyo unakaa hapo yaani niendelee kutumia jina la aliekuwa anakaa hapo....Hamna kitu kama hicho. KAaaya kadanganya umma kuwa wanajenga nyumba bora. FYI AICC wameuza hilo eneo kwa NAKUMAAT ya Kenya ili wajenge maduka na supermakets. KWA HILI NDIO WAMECHEMSHA BALAA maana super market Arusha ni bwere ree . Hakuna cha NSSF wala nini. Badala ya kujenga nyumba bora ambazo ndio tatizo la Arusha wanauza kwa Wakenya wajenge maduka. Huku ni kukosa uzalendo wa hali ya juu.
Hizo nyumba ni za serikali na wapangaji ni wananchi. Kutoa notisi bila kuwaambia waende wapi ni kuwanyima haki yao ya msingi. Wakenya ni nini bwana wakati wananchi tunahangaika nyumba za kupanga ? We need houses , not shops. Tena waanze na block moja moja . Likikamilka wengine wahamie ndio lingine lianzwe. Swala la hao wakenya wa Naakumat ni wizi mtupu na halikubaliki.
kama watafanya hivyo watatengeneza pesa sana...nasikia wanataka kutoa wapangaji ili wajenge kitu kama mlimani city
Kweli mkuu zile siyo nyumba ambazo unaweza kusubutu kusema zina milikiwa na shirika kama AICC..All in all, mi siiti zile nyumba, bali mabanda. Nampongeza sn mtu mwenye akili aliyebuni wazo hilo la kuondoa uchafu ule katikati ya mji ili kupisha majengo yenye heshima.
Walikuwa wanaboa sana pale, wamefunga bara2 bila sbbu za msingi na ni complication mno kupaingia na kutoka.
Wakubali tu matokeo wakapange mtaani kama watu wengine kwa faida ya mandhari ya mji.
hahaha...aisee pale hapafai..ilikua dili kupata nyumba pale, hata ukienda AICC ofisini wanakuambia kuna list ya watu bado wanasubiri kupta hizo nyumba. Kuna jama aliniambia nitoe 1.5M ili nipate nikamuangalia, nakujiuliza ningekua na hizo hela ningeshidwa kupanga mtaani..... nackia wahindi na wakenya ndo wanatoa hizo 2M ili wazawa wawapishe, wenyewe hawataki kujenga Arusha, so nyumba za AICC ndo kimbilio lao...Arusha nyuma siyo shida kivyo na isitoshe kuna ufisadi mkubwa sana kuzipata hizo nyumba za soweto kuna wakati nilikuwa nazihitaji nikaambiwa nitoe Mil 2 nikamuuliza unaniuzia au ni kupanga tu akaniambia ni kupanga tu tena wasijue kama wewe ndiyo unakaa hapo yaani niendelee kutumia jina la aliekuwa anakaa hapo....
acha wabomoe wajenge vitu vya maana...
Kama hata njiro ni squatters basi mzee Arusha haifai lakini nijuavyo njiro ni surveyed na hata ujenzi umezingatia viwango kwa kiwango kibwaJamani kuna sehemu yoyote Arusha mtu anaweza kupata makazi ya kudumu, kwa sababu naona Arusha yote imeja ma-squatters. Ujenzi holela kila corner, sio njira wala Sakina... Mpango wa mji hamna hata kidogo