Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Naandika hapa nikiwa na hasira na uchungu mwingi.
Baada ya Malcolm kuuzwa juzi hapa kwenda zenit St Petersburg ya huko Russia..
Sasa kimeibuka kioja kingine!
Mechi yao juzi waliotoka droo.
Mashabiki walikuwa na mabango yanayomtaka Malcolm auzwe haraka na hawamtaki kwani club yao haina utamaduni wa kusajili weusi!
Iliskika taarifa.
"sisi club yetu ipo pembezoni mwa mji na pia hatuna utamaduni wa kusajili watu weusi. ili kulinda utamaduni wetu
hatuchangamani na watu weusi kiakili wala vyovyote vile
Watu kutoka Pacific America kusini, Africa sisi hatupatani nao "
Sasa zenit nao wamepanga kumuuza Malcom ili kuwaridhisha mashabiki wao!
Mimi kama shabiki wa barca nilishasemaga rais wetu bartomeu na yule mkurugenzi wake wa ufundi (rafiki yake) na huyu kocha valvede hawatufai barca na hawafai kwa ustawi wa wachezaji! Ntakuja na kuelezea madudu yao wanayofanya shenzy!
Nawe Malcolm ni bora ungeendaga as Roma walipokutaka mwanzo. Yasingekupata haya 😢 😢
Uongozi wa sasa hivi barca haufai kwa kukuza wachezaji wao siku hizi wanataka mchezaji aliyetengenezwa huko tayari..
I stand with Malcolm 💪💪