Kwa hili CCM nimewavuli kofia

Kwa hili CCM nimewavuli kofia

DustBin

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2021
Posts
609
Reaction score
604
Hapa mtaani ninapoishi kuna shule ya sekondari jirani, tena ni o-level. Sasa tangu wiki iliyopita kuna shamra shamra nazisikia, kumbe wanafanya kampeni za uchaguzi wa serikali ya wanafunzi. Jana ndio nimepewa ubuyu kwamba wagombea wote wanaoshiriki wameandaliwa na CCM na wamelazimishwa kugombea ili wapate uzoefu kwani wanaandaliwa kuwa viongozi wa baadae.

kama niliyoambiwa ni sahihi basi wapinzani wana kibarua kikubwa sana kuiondoa CCM madarakani
 
Tuzungumze tozo mkuu kwa sasa

Hizi siasa tuviache kwanza
Ya tozo yashapita hayo. Hayana namna.., tukijifanya kung'ang'ana na mada za tozo, mambo ya katiba mpya yanatupita huku. Siasa ni akili..!!
 
Hapa mtaani ninapoishi kuna shule ya sekondari jirani, tena ni o-level. Sasa tangu wiki iliyopita kuna shamra shamra nazisikia, kumbe wanafanya kampeni za uchaguzi wa serikali ya wanafunzi. Jana ndio nimepewa ubuyu kwamba wagombea wote wanaoshiriki wameandaliwa na CCM na wamelazimishwa kugombea ili wapate uzoefu kwani wanaandaliwa kuwa viongozi wa baadae.

kama niliyoambiwa ni sahihi basi wapinzani wana kibarua kikubwa sana kuiondoa CCM madarakani
Harafu mje mlalamike kuhusu tozo. Majinga nchi hii hayataisha
 
Hapa mtaani ninapoishi kuna shule ya sekondari jirani, tena ni o-level. Sasa tangu wiki iliyopita kuna shamra shamra nazisikia, kumbe wanafanya kampeni za uchaguzi wa serikali ya wanafunzi. Jana ndio nimepewa ubuyu kwamba wagombea wote wanaoshiriki wameandaliwa na CCM na wamelazimishwa kugombea ili wapate uzoefu kwani wanaandaliwa kuwa viongozi wa baadae.

kama niliyoambiwa ni sahihi basi wapinzani wana kibarua kikubwa sana kuiondoa CCM madarakani
Kweki dustbin we ni takataka
 
Wanandaliwa ili waje watuletee Kodi za uzalendo c ndio. Afu mbona Kama wanandaliwa mbona wanaoteuliwa sio Wana ccm
 
Back
Top Bottom