Harafu mje mlalamike kuhusu tozo. Majinga nchi hii hayataishaHapa mtaani ninapoishi kuna shule ya sekondari jirani, tena ni o-level. Sasa tangu wiki iliyopita kuna shamra shamra nazisikia, kumbe wanafanya kampeni za uchaguzi wa serikali ya wanafunzi. Jana ndio nimepewa ubuyu kwamba wagombea wote wanaoshiriki wameandaliwa na CCM na wamelazimishwa kugombea ili wapate uzoefu kwani wanaandaliwa kuwa viongozi wa baadae.
kama niliyoambiwa ni sahihi basi wapinzani wana kibarua kikubwa sana kuiondoa CCM madarakani
Kweki dustbin we ni takatakaHapa mtaani ninapoishi kuna shule ya sekondari jirani, tena ni o-level. Sasa tangu wiki iliyopita kuna shamra shamra nazisikia, kumbe wanafanya kampeni za uchaguzi wa serikali ya wanafunzi. Jana ndio nimepewa ubuyu kwamba wagombea wote wanaoshiriki wameandaliwa na CCM na wamelazimishwa kugombea ili wapate uzoefu kwani wanaandaliwa kuwa viongozi wa baadae.
kama niliyoambiwa ni sahihi basi wapinzani wana kibarua kikubwa sana kuiondoa CCM madarakani
Wanandaliwa ili waje watuletee Kodi za uzalendo c ndio. Afu mbona Kama wanandaliwa mbona wanaoteuliwa sio Wana ccmHapa mtaani ninapoishi kuna shule ya sekondari jirani, tena ni o-level. Sasa tangu wiki iliyopita kuna shamra shamra nazisikia, kumbe wanafanya kampeni za uchaguzi wa serikali ya wanafunzi. Jana ndio nimepewa ubuyu kwamba wagombea wote wanaoshiriki wameandaliwa na CCM na wamelazimishwa kugombea ili wapate uzoefu kwani wanaandaliwa kuwa viongozi wa baadae.
kama niliyoambiwa ni sahihi basi wapinzani wana kibarua kikubwa sana kuiondoa CCM madarakani