Kwa hili CCM wanamaslahi yao

Joined
Sep 11, 2014
Posts
47
Reaction score
7
habarin wakuu! binafsi naamani pamoja na sababu zingine ndugu zetu walimu(taraji) hawajapata ajira mpaka sasa ili uandikishwaji wa daftari la kudumu la kupiga kura uishe au uwe umefanyika sehemu kubwa ndipo wapangiwe sehemu za kaz na hapo watashindwa kupiga kura kwan watakuwa wameandikishwa sehemu zngine.so kama kwel watahairisha tena tujue hii ndio target yao,labda watangaze leo cku ya muungano, wanafanya hv kwasababu walimu hao wengi wao hawaipend ccm.
 

Mmmm, takwimu zipi ulizotumia kuonesha walimu wengi hawaipendi ccm? Ingali kwny miktano mingi ya hadhara tumeona hao hao walimu unaodai hawaipendi ccm wakiwaandaa vjana kwa ajili ya ngojera, maigizo na nyimbo za kuitukuza ccm?

Tupe takwimu kwa hili, vingnevyo tuwe na subira ajira zitatangazwa. Km wana maslahi basi ata wanafunzi waloko vyuoni nao walalame maana uandikishwaji unafanyika wako vyuoni ilihali wakat wa kupga kura wengi watakuwa wamehitimu au wako rikizo majumbani mwao ambako hata hawakuandikishwa.

Km kutopiga kura si walimu wanaosubiri ajira tu bali wananchi wengi watakumbwa na hili sakata la kukosa nafasi yao ya kuchagua kiongozi wamtakaye.
 
term hii wakisababisha machafuko na wao hatuwaachi, hao tume. maana huku ni kuandaa machafuko yatokeee watu wetu wafe au nife harafu wao wanakuwepo tuuu, hapana machafuko yatagusa pia familia zao na wao wenyekuyaandaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…