Kwa hili CHADEMA kuweni makini jamani!

Kwa hili CHADEMA kuweni makini jamani!

Pawaga

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
1,349
Reaction score
1,011
Mimi ni mwanachama wa CDM mwenye kadi no. CDM 0545314 iliyotolewa tawi la chuo kikuu cha Tumaini(SMMUCo) moshi-2011.

Toka mwaka huo mpaka leo nimeshindwa kulipia ada ya uanachama kwa kuwa nakosa stika za malipo kwa kila ofisi ninayoenda.

Niliwahi kwenda iringa ofisi kuu ya chama walinizungusha tu njoo kesho mara oooh jioni.

The same applied nikiwa mbeya kila ofisi naenda kutaka kulipia naambiwa stika hazipo mpaka nimechoka.

NOTE: viongozi wetu weken hizo stika kila ofisi ili kurahisisha malipo ya kadi za uanachama.

Natumai ujumbe umefika kwa wahusika kupitia hapa JF.
 
Taarifa imefika kwa walengwa, Asante kwa kuendelea kuwa mwanachama mwaminifu wa Chadema.
 
Jamani chama kinapigania kuongoza nchi ila hamjajipanga kazi kuangalia mapungufu ya chama cha mapinduzi.
 
Back
Top Bottom