Elections 2010 Kwa hili,chadema muwe makini

mtiwadawa

Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
24
Reaction score
0
Katika pitapita yangu hapa jijini Mwanza nimejaribu kufanya utafiti mdogo tu juu ya nani ataibuka kidedea kwenye uchaguzi wa wabunge,JIMBO LA NYAMAGANA.Kwa uhakika kabisa,pasipo ushabiki MASHA atashindwa.Kwa kuwa MASHA ameanza kuhisi hilo,amesema atatumia mbinu zote kumshinda mgombea wa CHADEMA(mbinu zote zinaweza zikawa chafu na safi).
Ni vyema CHADEMA MKAE MACHO,KWA UHALALI JIMBO LA NYAMAGANA NI LENU.
 
chadema inabidi wawe na mikakati hai ili kura zao zisije zikaibiwa. Hakuna kupuuza kitu hapa. Nambari wani ss hivi chaliiii. Kifo cha mende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…