Kwa hili, Clouds FM wamechemka sana

Kwa hili, Clouds FM wamechemka sana

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,467
Kwanza niseme tu ukweli, Mimi kipindi ninachosikiliza Clouds Fm ni XXL tu na terminal cha Abela na Harisi. Vingine vyote naona havinivutii kabisa. Sasa ni hivi.

Hiki kipindi cha XXL kwa wale ambao wanasikiliza watakuwa wamegundua kitu ya kwamba kuna jamaajina limenitoka ila ni mpya kwenye XXL, yule jamaa wanampush ili awe sawa na akina Dozen na Mchomvu na hivo kila siku yeye ndie anayefungua kipindi na kufunga. Lakini pamoja na kumpush huko ila jamaa bado sana hajajua namna ya kutangaza kipindi cha XXL hadi kikavutia kama anavokifanya Dozen(B 12).

Kwanza jamaa anaongea kwa mihemko sana na hivo kupoteza ladha, halafu ameshindwa kujibland yeye kama yeye na hivo kujikuta ana uB12 na uMchomvu na hivyo kupoteza ladha kabisa.

Kifupi clouds wanataka kulazimisha jambo ambalo haliwezekani kabisa. Wanatakiwa wajipange sana na ikija kutokea B12 na Mchomvu wanahama ile redio ni wazi kabisa kwamba XXL itapoteza wasikilizaji kabisa kwa sababu hadi sasa hakuna anaeweza kufit nafasi zao.

Note: Hakuna redio yenye wasikilizaji wengi na vipindi vya kupangika kama clouds Fm, ni kama maji tu ile redio.
 
Kennedy yuko fresh tuu na kafit kabisa pale
Anyway huez pendwa na kila mtu
 
Kuna yule msichana mpiga makelele daaah sijui wamemtoa wapi huyoo..ani ongea yake ni kupiga makelele tuu
 
Kwanza niseme tu ukweli, Mimi kipindi ninachosikiliza Clouds Fm ni XXL tu na terminal cha Abela na Harisi. Vingine vyote naona havinivutii kabisa. Sasa ni hivi.

Hiki kipindi cha XXL kwa wale ambao wanasikiliza watakuwa wamegundua kitu ya kwamba kuna jamaajina limenitoka ila ni mpya kwenye XXL, yule jamaa wanampush ili awe sawa na akina Dozen na Mchomvu na hivo kila siku yeye ndie anayefungua kipindi na kufunga. Lakini pamoja na kumpush huko ila jamaa bado sana hajajua namna ya kutangaza kipindi cha XXL hadi kikavutia kama anavokifanya Dozen(B 12).

Kwanza jamaa anaongea kwa mihemko sana na hivo kupoteza ladha, halafu ameshindwa kujibland yeye kama yeye na hivo kujikuta ana uB12 na uMchomvu na hivyo kupoteza ladha kabisa.

Kifupi clouds wanataka kulazimisha jambo ambalo haliwezekani kabisa. Wanatakiwa wajipange sana na ikija kutokea B12 na Mchomvu wanahama ile redio ni wazi kabisa kwamba XXL itapoteza wasikilizaji kabisa kwa sababu hadi sasa hakuna anaeweza kufit nafasi zao.

Note: Hakuna redio yenye wasikilizaji wengi na vipindi vya kupangika kama clouds Fm, ni kama maji tu ile redio.

Kweli jamaa ana papara sana na anataka kuonyesha watu anaweza matokeo yake ukimsikiliza hupati fleva yoyote...pale waweke mtu asiyefanana sauti na wao huyo Kennedy wampeleke kwenye matangazo ya fiesta maana kelele anaziweza!. Au abadilike sana hakuna sababu ya kutangaza haraka haraka kama muda wa kipindi umekwisha wakati kipindi ndio kinaanza
 
Huu mchezo hauitaji hasira!

Radio ya matangazo ndembe ndembe!

XXL ilikuwa ile ya Dozen, Mchomvu, Fetty na Ncha kali. Pembeni yupo Steve B.

Sasa hivi ni the cruise ile.
 
Mashoga ndio wanasikiliza clouds lakini ukiwa lijali huwezi kabisa.

redio gani watangazaji wakiume wanabama pua kama watoto wakike
kwa hiyo mkuu unamanisha wote wanaoimba RnB ni mashoga?
 
keneddy the remedy. Hata jina tu ni brand tosha..
 
Back
Top Bottom