Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
ni kweli mkuu.mimi nikimtamani mtu najigonga gonga wewe uzuri wanaume huwa mnaelewa mapema.mnasafisha njiaKumbe wanaume tunajipaga moyo kweli kwamba tumetongoza na kukubaliwa; na wakati mwingine tunaamini kabisa kuwa sisi ndio tumemchagua mwanamke! Kumbe ukweli ni kuwa wanawake ndio wanatuchagua sisi kwanza kule kutongoza na kukubaliwa ni wao tu kutengenezea njia tu ya kuwafikia!
Kumbe wanaume tunajipaga moyo kweli kwamba tumetongoza na kukubaliwa; na wakati mwingine tunaamini kabisa kuwa sisi ndio tumemchagua mwanamke! Kumbe ukweli ni kuwa wanawake ndio wanatuchagua sisi kwanza kule kutongoza na kukubaliwa ni wao tu kutengenezea njia tu ya kuwafikia!
wanawake tupo simple sana kwenye swala la mapenzi .wanaume ndo mmelifanya complex .ukimtongoza mwanaume shida,akikutongoza ukimkubalia kirahisi shida,ukimtesa nayo shidaWanawake ni complex sana, mwingine anaweza akawa hajakupenda lakini thru kuzoeana kwa muda mrefu au kumuimbisha kwa muda mrefu, anaanza kujenga upendo pole pole.
Kuimbisha bado naona ni msingi mzuri wa mwanaume kupata mke kuliko kufikiria kuwa unaweza kukubaliwa kirahisi kwa imani ya kuwa tayari unapendwa.
Kwa taarifa yake wanawake walio wengi hupenda kuimbishwa na wengine kujikuta wanamkubali hata yule mtu ambaye mwanzoni hakufikiria kuwa naye!!
ni kweli mkuu.mimi nikimtamani mtu najigonga gonga wewe uzuri wanaume huwa mnaelewa mapema.mnasafisha njia
ni ngumu mwanaume from nowhere amtongoze mwanamke amkubalie ni ngumu sana
hata hapa jf nikitaka mtu anitongoze na mpm tu kumpa salamu asubuhi hadi jioni keshanipa mashairi
Wanaume mmetufanya tuwe tulivo,mguu pande mguu sawa.machojuu macho chini maana mmekuwa nyoka nyieni wadanganyifu mnoSitaki kujifanya nawajua hawa viumbe
Watupe homa na mawazo na maliwalizo na tuwaache wawe wao. Period!
Achauchakachuzi bwana changia mada.huwaunatongozaje?na kwa Rejao hua unajigonga kwa sababu unamtamani??:smile:
joking! hujambo lakini??
maana umeamua kunitupa kabisa siku hizi
wanawake tupo simple sana kwenye swala la mapenzi .wanaume ndo mmelifanya complex .ukimtongoza mwanaume shida,akikutongoza ukimkubalia kirahisi shida,ukimtesa nayo shida
teh navokulove siwezi kukutosa labda ukosee mashartiMie nakuimbisha, ukintolea nje maramoja sirudi tena, Ukijilete mwenyewe lazima ntakuwekea question mark,
Hapo kwe kunitesa sasa ndo pagumu., bora uniache tu
karibu tena ad tumekumiss sanaUsema ukweli sijawahi sikia msichana anayetongozwa na kijana moja tu.
Tufanyaje tu, leo unamwambia mtu Hapana, kesho wanajitokeza kumi kidogo.
Na kwa kipande fulani sisi wanawake tunapenda kutongozwa. (Ikizidi sana usumbufu)
Jamani tuacheni tuwapange foleni tuchague.
Sintaa kaa hapa ni rembe maneno. Hapana.
Mkuu Mwanakijiji umeongea la maana sana.
Ukimtongoza mdada jua we si mwanaume pekee mpaka hapo atakapo kukubalia ....
Usikute na nyie wakaka mmetupanga tu.
Usiku una flip coin .......
Asanteni kwa ukarimu wenu........
Achauchakachuzi bwana changia mada.huwaunatongozaje?
karibu tena ad tumekumiss sana
back to the topic
kutongozwa ni raha bwana ila ukizipanga vibaya sometimes ni kero ujue
Wanaume mmetufanya tuwe tulivo,mguu pande mguu sawa.machojuu macho chini maana mmekuwa nyoka nyieni wadanganyifu mno
ila ukwelikuna wanaume hawajui kutongoza bwana.kumtongoza mwanamke sio kama ni interviewkwamba lazima ujieleze wewe ni nani? Una uzoefu gani ,mshahara shngapi,unamiliki nini na nini? Wanawake hatutaki kujua yote hayo
twende PM maana hapa watu wataiba trick zangu...
ni kweli mkuu.mimi nikimtamani mtu najigonga gonga wewe uzuri wanaume huwa mnaelewa mapema.mnasafisha njia
ni ngumu mwanaume from nowhere amtongoze mwanamke amkubalie ni ngumu sana
hata hapa jf nikitaka mtu anitongoze na mpm tu kumpa salamu asubuhi hadi jioni keshanipa mashairi
Chukulia mfano rahisi wa simu Suppose x anakutongozaunamzungusha ana simu yakoAsante Smile.
kupanga Vipi vibaya tena? Unamaanisha kuwachanganya?