Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
ila ukwelikuna wanaume hawajui kutongoza bwana.kumtongoza mwanamke sio kama ni interviewkwamba lazima ujieleze wewe ni nani? Una uzoefu gani ,mshahara shngapi,unamiliki nini na nini? Wanawake hatutaki kujua yote hayo
Kwanini huwamnajichosha ?mwanamke ambae atakukubali kama alivosema mtoa mada juaalishakutaka siku nyingi .so usitumie energy kubwa sana maana kama hajakutakahata useme nini hatokukubali
Mambo ya mimindo signatory wa ndege zote ziruke amsterdam yashapitwa na wakati

endelea kusubiri mkuu wakati wako haujafika endelea kuombaduh mbona mi napita mbele yako kila siku hata ishara hamna...... au sijakuvutiaaa..
kweli mwanakijiji,lakini mkishakubaliwa hizo nyodo zenu!!!!
Chukulia mfano rahisi wa simu Suppose x anakutongozaunamzungusha ana simu yako
Kuna y w z o p q nk
Hizo simu tu ni kero tosha maana kila saa utakuwa kama operator jamani
uzuri mi sina simu
So, how do you overcome this situation?
uzuri mi sina simu
Chukulia mfano rahisi wa simu Suppose x anakutongozaunamzungusha ana simu yako
Kuna y w z o p q nk
Hizo simu tu ni kero tosha maana kila saa utakuwa kama operator jamani
Wanaume mmetufanya tuwe tulivo,mguu pande mguu sawa.machojuu macho chini maana mmekuwa nyoka nyieni wadanganyifu mno
ukimwambia ukweli si atakuacha na wewe roho inataka kusikiliza nyimbo?Simple solution.
unawambia ukweli ya kwamba hauko mwenyewe. I do that all the time. Unasema kabisa juma yuko bukoba, Ally yuko mwanza,
Joseph yuko Uganda, Trent yuko Australia, Jason yuko Jamaica. Kama hawezi kuota huo moto is up to him. Ilimradi humdanganyi. Na hayo matatizo ya simu sijui email kila dakika hayatasumbua ukisema ukweli...
Na kumbuka anakutongoza tu ........ kwa hiyo huvunji rule yeyote kumwambia ukweli.
unataka kusema wanawake tupo too much demanding?Wanaume sio wadanganyifu, sema huwa tunakuwa na mpangokazi toka mwanzo kabisa -- well stipulated malengo na nia.
Sasa wenzetu sijui huwa mnakosea wapi? Ila kwenye udanganyifu nakataa.
ni kweli mkuu.mimi nikimtamani mtu najigonga gonga wewe uzuri wanaume huwa mnaelewa mapema.mnasafisha njia
ni ngumu mwanaume from nowhere amtongoze mwanamke amkubalie ni ngumu sana
hata hapa jf nikitaka mtu anitongoze na mpm tu kumpa salamu asubuhi hadi jioni keshanipa mashairi
ukimwambia ukweli si atakuacha na wewe roho inataka kusikiliza nyimbo?
Kumbe wanaume tunajipaga moyo kweli kwamba tumetongoza na kukubaliwa; na wakati mwingine tunaamini kabisa kuwa sisi ndio tumemchagua mwanamke! Kumbe ukweli ni kuwa wanawake ndio wanatuchagua sisi kwanza kule kutongoza na kukubaliwa ni wao tu kutengenezea njia tu ya kuwafikia!