Kwa hili dada zetu mnatudanganya.. au mmetuzidi maujanja!

Hiyo picha inajieleza vizuri. Hahhahah kujiremba kwetu pia kunaashiria mambo mengi mojawapo ni hilo la mtego mzuri kwa wanaume na wanaume mnapenda maua yanayochanua mwanzo mwisho matokeo yake ni kunasa kwa huo mtego hahahahha. Jibu ni tunadanganyana lakini wanawake wamezidi maujanja.... tuna mitego ya kila aina wanaume kazi yenu ni kutegua na matokeo yake mnateguka kirahiiiiiiiiiiisiiiiiiiii.
 

You did not specify.

I may go as far as saying "the typical Tanzanian" is a mythical construct of the mind, fuelled by a lack of coherent expression and a malignant manipulation on the part of politicians, this "typical Tanzanian"t does not exist just as the typical (a.k.a average) number of children in a household in a certain country can be 2.2.

Have you seen a household with 2.2 children?

Typical may not be that typical.

Come again.
 

Well, if its not typical it can't be typical now could it?
 


hivi Mwanakijiji ina maana ulikuwa hujui hili.....?......basi nataka nikuhakikishie.....hilo ni kweli kabisa.......
 

Asee NN nakushukuru bana acha na mimi nitafute umember huko!!
 
Lol! Mie nicheke pia kwa bold!
Seriously speaking, with my very evil mind nilishawahi kujaribu ku-speculate mtu/watu ambao mama yangu mzazi angaliweza kuwa na affair nao wakati dingi yuko kwenye safari zake za muda mrefu. Niliishia bila clue! Ila dingi kumuhisi ni rahisi sana (kama vile nishaona na kijana aliefanana na mie kidogo,mweh!)
Women ar smarter than men, ndo maana Bible inasema 'wanaume kaeni na wake zenu kwa akili' if we were not that smart msingehitaji akili ya kukaa na sie, sio?
 
Kuna kipindi huwa nawaz why kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanamke na mwanamme.
Wakati wanaume wanatake easy mambo madogo madogo mwanamke anakomaa nayo mpaka kiwango cha kununa siku nzima kisa haujamwambia kapendeza
 
Kuna kipindi huwa nawaz why kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanamke na mwanamme.
Wakati wanaume wanatake easy mambo madogo madogo mwanamke anakomaa nayo mpaka kiwango cha kununa siku nzima kisa haujamwambia kapendeza

ulinotice kapendeza au anataka kusikia tu kapendeza?
 
Tunaamini kuwa mwanamke anahitaji kuwa na 'hisia' na mtu kumbe wapo wanawake ambao nao tendo hilo ni kama mazoezi ya viungo tu au kama kashata! wanakula wakiwa na hamu na wakimaliza hata hawakumbuki!

....mmmmh....NSA and one night stand...just saying!
 
wanawake pasua kichwa....the moment ukijifanya 'unawajua' tu
imekula kwako

Mambo ya usawa siku hizi, kama nyie mnacheat kwa nini sie tuendelee kufa kwa pressure? Uzuri wetu tunafanya mambo kwa akili sio kama nyie mkishaogeshewa maji ya karafuu basi yale ya hiriki hamkumbuki tena. Chezeya wanawake weye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…