Kufuatia mechi ya soka kati ya Yanga na Simba jana huko Mwanza, kanda ya ziwa ilipata mvua usiku wa kuamkia Ijumaa na Jumamosi. Leo na kavu.
Nafikiria kama msimu wa mvua ukichelewa ni bora kuwatafuta Simba na Yanga watuletee mvua badala ya kuanza kutoa miito ya sala.