WALIMWEUSI mie sitadeal na huyo dada, mie namtaka mume wangu tu! ukute dada wa watu aliambiwa mi bachelor?? mi nadeal na huyu mwandani wangu.Dah, sipati picha umkute kimada wa mumeo anatumia jiko lako, nadhani utamkalisha kwenye jiko linalowaka aungue makalio yake.
asigwa, yawezekana kweli vimada wana umuhimu, ila FANYIENI MBALI, NIYO NDIYO POINT YANGU, SI KWENYE NYUMBA YANGU, NIPO, NIMESAFIRI. MPELEKE MBALI LOL!ila vimada wanahusika sana kwenye ulimwengu huu wa mtu kuamka amenuna bila sababu
maybe keshatendwa au ni mtendaji vile vile uwezi jua bwana....Umesisitiza sana hili cacico... ulishatendwa nini?