Kwa hili heslb na mwaisobya mnastahili lawama

pelanya

Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
21
Reaction score
5
Nimesikitika sana kw idadi kubwa ya wanafunz wapya wa vyuo vikuu kukosa mikopo mwaka huu ni kweli kuwa isingekuwa rahisi watu wote kupata lakini kwa idadi ya waliokosa inatisha mwaka huu. Lawama zangu za kwanza nazielekeza kwa mwaisobya afisa habar wa heslb kwani weng wanalaumu kwa kutokujua criteria and guideline za kuomb mkopo hapa kaka umechemka kwani mwöngozo na masharti ya kutoa mkopo mwaka huu uliuficha makusudi kwani hata kwenye website yenu hamukutoa ili watu weng waombe mpate 30000 zao bure. Lawama za pili nazielekeza kwako kaka c, mwaisobya kwa kutudanganya kuwa mtatoa mikopo kwa wanafunzi 31 elf alafu mwisho unasema ni 29elf izo pesa zingne mnataka kukopeshana wenyewe hapo heslb au mnahifadh kwa ajil ya kukopeshana wakati wa uchaguz maana tunasikia kuna wenzenu humo heslb wanataka kuwa waheshimiwa mjengoni kwa hili tutaliona baadae kwan mwisho wa udhalimu wenu unakaribia
 
du!hatareee,hata sio 29elfu ni waongo tu,haya bhana acha wafanye wanavyotaka wao!
 
Kwa harakaharaka kuna harufu ya wizi/ufisadi ndani ya loan board...
Shem apon 'em
 
More than pain!
 
du!hatareee,hata sio 29elfu ni waongo tu,haya bhana acha wafanye wanavyotaka wao!

Hapana..!!
Kwanini tuwaache wafanye wanavyotaka,wakati hizi ni kodi zetu,ni haki zetu,na ni sisi tunaowalipa..

We can say huge NO..
 
Nimesikitika sana kw idadi kubwa ya wanafunz wapya wa vyuo vikuu kukosa mikopo mwaka huu ni kweli kuwa isingekuwa rahisi watu wote kupata lakini kwa idadi ya waliokosa inatisha mwaka huu. Lawama zangu za kwanza nazielekeza kwa mwaisobya afisa habar wa heslb kwani weng wanalaumu kwa kutokujua criteria and guideline za kuomb mkopo hapa kaka umechemka kwani mwöngozo na masharti ya kutoa mkopo mwaka huu uliuficha makusudi kwani hata kwenye website yenu hamukutoa ili watu weng waombe mpate 30000 zao bure. Lawama za pili nazielekeza kwako kaka c, mwaisobya kwa kutudanganya kuwa mtatoa mikopo kwa wanafunzi 31 elf alafu mwisho unasema ni 29elf izo pesa zingne mnataka kukopeshana wenyewe hapo heslb au mnahifadh kwa ajil ya kukopeshana wakati wa uchaguz maana tunasikia kuna wenzenu humo heslb wanataka kuwa waheshimiwa mjengoni kwa hili tutaliona baadae kwan mwisho wa udhalimu wenu unakaribia

Ni kweli, guidelines na criteria za utoaji mikopo kwa mwaka huu walizificha. Lakini hii bado haiwapi wao excuse ya kuwanyima watu wengi mikopo.
Pesa zipo nh ufisadi na unyanyasaji tu.
 
Let's fight for our right! Mie binafsi sielewi ni vigezo gani wametumia na kama ni hicho cha kwamba mtu kasoma shule binafsi o-level, sio wote wanaosoma hizo shule wana uwezo wengine wanadhaminiwa tu, ndo maana advance wameenda shule za serikali ili chuo wapate mkopo kwani ni watoto wa wakulima kweli! Sasa unapomnyima kwa kigezo hicho unammaliza kabisa!
 
kusoma private sio kigezo ch kukosa mkopo acording to mwöngoz ila ina determine ni kias gan cha tution fee wakpe but ukiangalia mwongozo wao unaweza usiombe mkopo wao otherwise uforge sana document
 
Na mbaya zaidi njoo katika makato yao baada ya kumaliza chuo, ni uwizi mtupu!!
Ukifuatilia wanajiumauma tu!!
Umesoma na mtu programme moja, mkopo mlikua mnapata % moja, kazi unafanya naye ofisi na position moja, umeajiriwa naye siku moja, cha ajabu mmoja deni lake ni mil5 mwingine mil3 (yaani hadi kero)!!!
 
Back
Top Bottom