andromena JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 587 Reaction score 668 Oct 23, 2014 #21 don xxx said: Trousers aliyovaa Dimpoz kwenye picha ya juu si ile iliyovaliwa kwenye picha ya chini,hata rangi ni yofauti..angalia kwa umakini utabaini.. Click to expand... ndo hta mie nawashangaa hawa an not surual tu hata shat ni ingine. na hata texture ya picha n mbl tofaut
don xxx said: Trousers aliyovaa Dimpoz kwenye picha ya juu si ile iliyovaliwa kwenye picha ya chini,hata rangi ni yofauti..angalia kwa umakini utabaini.. Click to expand... ndo hta mie nawashangaa hawa an not surual tu hata shat ni ingine. na hata texture ya picha n mbl tofaut
andromena JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 587 Reaction score 668 Oct 23, 2014 #22 Paula kilaki said: hahahaha picha ya mwenyewe ni ya zamani kuliko aliyopiga na mdee???? OMG!! kwa hiyo alizihifazi hizo nguo toka zamani hizo akijua ipo siku atakuwa msanii aje aziigizie??? aliyetuloga watanzania Mungu asimsamehe milele. Click to expand... hujielew ww. kanawe uso uje usome na uangalie izo picha vizur afu ndo uongee.. omy mwenyew kasema ukweli we unabisha nn sasa
Paula kilaki said: hahahaha picha ya mwenyewe ni ya zamani kuliko aliyopiga na mdee???? OMG!! kwa hiyo alizihifazi hizo nguo toka zamani hizo akijua ipo siku atakuwa msanii aje aziigizie??? aliyetuloga watanzania Mungu asimsamehe milele. Click to expand... hujielew ww. kanawe uso uje usome na uangalie izo picha vizur afu ndo uongee.. omy mwenyew kasema ukweli we unabisha nn sasa