Kwa hili jibu la Profesa Tibaijuka maana yake haridhishwi na Uongozi wa Rais Samia?

Kwa hili jibu la Profesa Tibaijuka maana yake haridhishwi na Uongozi wa Rais Samia?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Mwanasiasa mkongwe, Profesa Tibaijuka amemwambia mtangazaji wa Wasafi TV, Charles William kuwa hatakii mema baada ya kuulizwa kuhusu tathimini yake juu yake jinsi unavyokwenda.

 
Kumuongezea mitano tena ni kuongeza janga kwa taifa letu. Mafisadi tu ndio wanaofurahia
 
Namkubali sana mama Prof. Tibaijuka mama wa vichenji vya kubadilisha mboga.. vichenji vya escrow bin Rugemalira.
Binti zangu nitawashauri wamfuatilie huyu mama kuwa role model wao.
Bila kuwakosea heshima Mama zangu Samia na Asha Rose Mingiro, huyu mama Tibaijuka namkubali kuliko hao wote ni kichwa sana. Akina Bibi Titi, Anna Abdalah, Anna Makinda na wengine wako level ya chini kuliko huyu Prof. Tibaijuka.
 
Law and order ilitumika kugawana mapesa ya Escro?
 
Back
Top Bottom