Namkubali sana mama Prof. Tibaijuka mama wa vichenji vya kubadilisha mboga.. vichenji vya escrow bin Rugemalira.
Binti zangu nitawashauri wamfuatilie huyu mama kuwa role model wao.
Bila kuwakosea heshima Mama zangu Samia na Asha Rose Mingiro, huyu mama Tibaijuka namkubali kuliko hao wote ni kichwa sana. Akina Bibi Titi, Anna Abdalah, Anna Makinda na wengine wako level ya chini kuliko huyu Prof. Tibaijuka.