Umeonaa Mbali K U Kweli....Hili jua ni Clear sign kuwa El Nino iko njiani
Ila swali wanaoishi bondeni atakuwa na ahuweni?
Sisi wa mbagala rangi tatu tu toka salama kweli?
Tuzidi kuomba El Nino isiwe kali na niishie pwani isifike Dar.
Na watu hata they don't care mitaro michafu kinanuka, mazingira ovyo.
Watu wa Dar kwa kudeka tu hamjambo, kuna jua gani hapo kwa wakazi wa Dar?Hili jua ni Clear sign kuwa El Nino iko njiani
Ila swali wanaoishi bondeni atakuwa na ahuweni?
Sisi wa mbagala rangi tatu tu toka salama kweli?
Tuzidi kuomba El Nino isiwe kali na niishie pwani isifike Dar.
Na watu hata they don't care mitaro michafu kinanuka, mazingira ovyo.
We bado dogo janja kwani jua limeanza leo?Hili jua ni Clear sign kuwa El Nino iko njiani
Ila swali wanaoishi bondeni atakuwa na ahuweni?
Sisi wa mbagala rangi tatu tu toka salama kweli?
Tuzidi kuomba El Nino isiwe kali na niishie pwani isifike Dar.
Na watu hata they don't care mitaro michafu kinanuka, mazingira ovyo.
Mbeya...Pande gani hizo
Elimu za hapa na pale zinapoanza kuongelea swala la kitaalamu,eti Elnino yaja kabisa!!!Hili jua ni Clear sign kuwa El Nino iko njiani
Ila swali wanaoishi bondeni atakuwa na ahuweni?
Sisi wa mbagala rangi tatu tu toka salama kweli?
Tuzidi kuomba El Nino isiwe kali na niishie pwani isifike Dar.
Na watu hata they don't care mitaro michafu kinanuka, mazingira ovyo.
TMA ya CCM haijui hata kama El Nino ni mvua, upepo wa kimbunga, tetemeko la ardhi, ukame, radi au barafu kaliHili jua ni Clear sign kuwa El Nino iko njiani
Ila swali wanaoishi bondeni atakuwa na ahuweni?
Sisi wa mbagala rangi tatu tu toka salama kweli?
Tuzidi kuomba El Nino isiwe kali na niishie pwani isifike Dar.
Na watu hata they don't care mitaro michafu kinanuka, mazingira ovyo.
Naam, elimu ya hapa na pale ya mtoa mada kwenye moja na mbiliElimu za hapa na pale zinapoanza kuongelea swala la kitaalamu,eti Elnino yaja kabisa!!!
Elnino imeanza Toka mwezi wa tano, na October - December (OND) ndo kilele chake
Hata hii hali tunayopitia ni Elnino,elewa kuwa kwa kawaida Joto la bahari Pacific linapopanda kuliko kiwango chake cha kawaida ,Hali hii huathiri mifumo ya Hali ya hewa duniani kote,na Moja ya matokeo yake kwa sisi afrika mashariki ni mvua kubwa kupitia kiasi,lakini hii sio kanuni ,Kuna wakati inaweza kuwa ukame kama tunavyo shuhudia kwa sasa.