Kwa hili jua El-Nino yaja kabisa

Watu wa Dar kwa kudeka tu hamjambo, kuna jua gani hapo kwa wakazi wa Dar?

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Hakuna mtu aliye deka bali tunasema ukweli ili angalau watu waone kuwa kijacho sio cha kawaida, na tahadhari ni kitu cha muhimu kuliko tiba
 
Kwa hiyo unamaanisha kuwa mvua kubwa na mafuriko yanaweza yasitokee?
 
Asee jua linawaka utadhani yapo mawili nilikuwa Mbeya, Moshi, Dar kote kupo saresare.
 
Kwa hiyo unamaanisha kuwa mvua kubwa na mafuriko yanaweza yasitokee?
Chochote chaweza tokea,huoni kuwa kwa kawaida hizo mvua zilitarajiwa September,baadae October na sasa twaenda November bila mvua!? Elnino sio lazima iwe mvua,hata hii hali tunayopitia ni elnino
 
MIMI nashauri kama hata joto kali ni elimi mino basi katka zile b730 wangetenga fungu wakagaia wananchi feni kujikinga na hii el mino
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…