Kwa hili la Askofu Gwajima, IGP Sirro ana dharau sana

Kwa hili la Askofu Gwajima, IGP Sirro ana dharau sana

ngebe

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
1,789
Reaction score
5,117
Narudia tena IGP anadharau sana, unasema utaangalia namna wayamalize kwa amani? Gwajima si alisema kuna viongozi wamehongwa? mambo ya kuhongwa yanaisha vipi hujui rushwa kesi yake inaishaje? kwanini usiruhusu Gwajima aje awataje hao waliohongwa ili wahashughulikiwe kwa mujibu wa sheria?

hizi naona kama ni dharau kwa mamlaka ya uteuzi wa Rais

Sirro anadharau sana, mi naona tatizo linaanzia kule juu, bora katiba ibadilishwe Rais akifia madarakani nchi irud kwenye uchaguzi

Mtu anatuhumu Viongozi wamepewa hongo kuingiza chanjo means alikua anamaanisha Rais Samia bado ameachwa?

kipindi kile mtu yoyote alikua hata akikohoa tu kuhusu JPM anakamatwa, Idris alicheka tu picha ya JPM akakamatwa

Lakini Gwajima analiambia kanisa viongozi walioruhusu chanjo akili zao zimeenda likizo halafu IGP anaongea nini sasa,

Mimi naona sasa kama vya chanjo tuachane navyo kwanzia leo

Samia kazi unayo pole sana

Hivi vitu vinavyoendekezwa vya kujifanya eti uhuru wa kuongea vitakuja kuligawa taifa pande mbili,

Bora 2025 ifike haraka tuchague Rais anayeweza kuongoza nchi vizuri
 
Ina maana IGP anawasemea Takukuru?Mh Mama Waziri aliamrisha majeshi ya Polisi na Takukuru. Hili nalo ni gumu kuelewa?! Takukuru kuhoji na kukamata wanaomba ruksa kwa IGP/Polisi siku hizi?
 
Mtoa mada una kichaa, kwan hii si nchi mzee baba bas kna uhuru wa maoni, mwacheni askofu wetu
 
Back
Top Bottom