Kwa hili la bodi ya ligi,2017-18 ni anguko kubwa kwa Yanga SC

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
Uongozi wa Yanga umetaka Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) kuwaomba radhi mara moja.

Yanga wametaka kuombwa radhi kutokana na kitendo chao cha kutoalikwa katika zoezi la kukabidhi vifaa lililofanywa na Kampuni ya Vodacom na wao hawakualikwa.

“Halikuwa jambo jema na pia linatuharibia kwa kuwa jezi zetu ni mkataba wetu na SportPesa na si Vodacom. Lakini ajabu hatukuambiwa wakati na sisi tulikuwa tumepanga jezi hizo zifanyie uzinduzi maalum na mchezaji wa zamani wa Arsenal, Sol Campbell ambaye anakuja nchini,” alisema Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa.

Wakati wa zoezi hilo, Msemaji wa Simba, Haji Manara alijitokeza kuwasaidia Yanga kupokea jezi, jambo ambalo limechangia kuibuka kwa hasira za Yanga ambao wameonyeshwa kukerwa na hali hiyo.
-------------------------------------------------------
Updates:TFF waomba Radhi kwa kutowapa Yanga SC taarifa ya uzinduzi wa vifaa vya michezo.
 
Uongozi wa Yanga umetaka Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) kuwaomba radhi mara moja.

Yanga wametaka kuombwa radhi kutokana na kitendo chao cha kutoalikwa katika zoezi la kukabidhi vifaa lililofanywa na Kampuni ya Vodacom na wao hawakualikwa.

“Halikuwa jambo jema na pia linatuharibia kwa kuwa jezi zetu ni mkataba wetu na SportPesa na si Vodacom. Lakini ajabu hatukuambiwa wakati na sisi tulikuwa tumepanga jezi hizo zifanyie uzinduzi maalum na mchezaji wa zamani wa Arsenal, Sol Campbell ambaye anakuja nchini,” alisema Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa.

Wakati wa zoezi hilo, Msemaji wa Simba, Haji Manara alijitokeza kuwasaidia Yanga kupokea jezi, jambo ambalo limechangia kuibuka kwa hasira za Yanga ambao wameonyeshwa kukerwa na hali hiyo.
Pole.....
BBM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza ni maajabu ya Afrika tu ambapo wadhamini wa ligi wanagawa na vifaa vya michezo.... Ulaya club zina mikataba na makampuni binagsi tu... Mfano Chelsea vifaa vya michezo inapewa na nike... Mpira wa kuchezewa ligi kuu unadhaminiwa na nike... Barclays wao wanadhamini masuala mazima ya zawadi tu... So should Vodacom...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huu ugonjwa wa kutokuhudhuria mialiko Yanga bado haujapona tu hata ktk kipindi hiki ambapo kiongozi wa utawala ni Charles Mkwasa mtu ninayemheshimu sana?

- Yanga ilikosa kuhudhuria kikao cha CAF wakati wa maandalizi wa mechi za robo fainali za kombe la shirikisho. Katika timu zote 8 zilizozheza michuano hiyo ni YANGA pekee haikuhudhuria. Matokeo yake sote ni mashahidi, Yanga ilijikuta ikiwa haijui haki na mipaka ya urushwaji wa mechi zao hili lilikuwa kubwa sana na ndio chimbuko la malumbano baina ya Jerry Muro na Selestine Mwesigwa hadi Jerry kufungiwa.
- Yanga ilishindwa kutoa ushirikiano wa dhati wakati wa mazungumzo ya udhamini wa Azam TV kwa vilabu vya Ligi Kuu. Ilisikika ikipinga maazimio nje ya vikao lakini haikuweza kuhudhuria ili kuinfluence kipato zaidi kwake na mtani wake kulingana na brand yake.
- Yanga mara nyingi imeshindwa kutoa ushirikiano mzuri wakati wa kupitisha kanuni na pamoja na mtani wake Simba huwa zinahudhuria kwa kusuasua kwenye issue nyeti za mipango na maandalizi. Sakata la kadi tatu za kuchagua lililomhusu Ibrahim Ajibu lilitokana na Yanga kupuuzia vikao vya kubadilishwa kanuni ambazo hufanyika kabla ya Ligi kuanza lakini Yanga ikaja kutoa povu wakati kanuni inatumika!!! Simba lkn mara kadhaa hujitahidi na kuiacha Yanga ikizidi kujivuta miguu.
- Yanga, katika timu zote imeshindwa kuhudhuria peke yao na kutoa sababu zisizo na mashiko. Haiwezekani, timu zote zipate taarifa na Yanga ishindwe kupewa taarifa ya kupokea jezi na vifaa vingine eti kwa kitu kinachoitwa hujuma!!!

Mashabiki na wanazi wa timu hii kama huyu mtoa mada wanapaswa kuuliza maswali magumu kwa viongozi wao ambo mara nyingi hukimbilia kwenye vyombo vya habari kukata soo kwa kuwabambikia TFF au Bodi ya Ligi. Sio wakati wa kujifariji wakati uzembe unaonekana waziwazi. Ipo siku itawakosti vibaya zaidi and it will be too late.
 
Hivi huu ugonjwa wa kukutokuhudhuria mialiko Yanga bado haujapona tu hata ktk kipindi hiki ambapo kiongozi wa utawala ni Charles Mkwasa mtu ninayemheshimu sana?

- Yanga ilikosa kuhudhuria kikao cha CAF wakati wa maandalizi wa mechi za robo fainali za kombe la shirikisho. Katika timu zote 8 zilizozheza michuano hiyo ni YANGA pekee haikuhudhuria. Matokeo yake sote ni mashahidi, Yanga ilijikuta ikiwa haijui haki na mipaka ya urushwaji wa mechi zao hili lilikuwa kubwa sana na ndio chimbuko la malumbano baina ya Jerry Muro na Selestine Mwesigwa hadi Jerry kufungiwa.
- Yanga ilishindwa kutoa ushirikiano wa dhati wakati wa mazungumzo ya udhamini wa Azam TV kwa vilabu vya Ligi Kuu. Ilisikika ikipinga maazimio nje ya vikao lakini haikuweza kuhudhuria ili kuinfluence kipato zaidi kwake na mtani wake kulingana na brand yake.
- Yanga mara nyingi imeshindwa kutoa ushirikiano mzuri wakati wa kupitisha kanuni na pamoja na mtani wake Simba huwa zinahudhuria kwa kusuasua kwenye issue nyeti za mipango na maandalizi. Sakata la kadi la kadi tatu za kuchagua lililomhusu Ibrahim Ajibu lilitokana na Yanga kupuuzia vikao vya kubadilishwa kanuni ambazo hufanyika kabla ya Ligi kuanza lakini Yanga ikaja kutoa povu wakati kanuni inatumika!!! Simba lkn mara kadhaa hujitahidi na kuiacha Yanga ikizidi kujivuta miguu.
- Yanga, katika timu zote imeshindwa kuhudhuria peke yao na kutoa sababu zisizo na mashiko. Haiwezekani, timu zote zipate taarifa na Yanga ishindwe kupewa taarifa ya kupokea jezi na vifaa vingine eti kwa kitu kinachoitwa hujuma!!!

Mashabiki na wanazi wa timu hii kama huyu mtoa mada wanapaswa kuuliza maswali magumu kwa viongozi wao ambo mara nyingi hukimbilia kwenye vyombo vya habari kukata soo kwa kuwabambikia TFF au Bodi ya Ligi. Sio wakati wa kujifariji wakati uzembe unaonekana waziwazi. Ipo siku itawakosti vibaya zaidi and it will be too late.
umesoma bandiko lakini??
 
Kwanza ni maajabu ya Afrika tu ambapo wadhamini wa ligi wanagawa na vifaa vya michezo.... Ulaya club zina mikataba na makampuni binagsi tu... Mfano Chelsea vifaa vya michezo inapewa na nike... Mpira wa kuchezewa ligi kuu unadhaminiwa na nike... Barclays wao wanadhamini masuala mazima ya zawadi tu... So should Vodacom...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni Tanzania sio English

So ustake ule pilau wakat mfukon una buku

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Hivi huu ugonjwa wa kutokuhudhuria mialiko Yanga bado haujapona tu hata ktk kipindi hiki ambapo kiongozi wa utawala ni Charles Mkwasa mtu ninayemheshimu sana?

- Yanga ilikosa kuhudhuria kikao cha CAF wakati wa maandalizi wa mechi za robo fainali za kombe la shirikisho. Katika timu zote 8 zilizozheza michuano hiyo ni YANGA pekee haikuhudhuria. Matokeo yake sote ni mashahidi, Yanga ilijikuta ikiwa haijui haki na mipaka ya urushwaji wa mechi zao hili lilikuwa kubwa sana na ndio chimbuko la malumbano baina ya Jerry Muro na Selestine Mwesigwa hadi Jerry kufungiwa.
- Yanga ilishindwa kutoa ushirikiano wa dhati wakati wa mazungumzo ya udhamini wa Azam TV kwa vilabu vya Ligi Kuu. Ilisikika ikipinga maazimio nje ya vikao lakini haikuweza kuhudhuria ili kuinfluence kipato zaidi kwake na mtani wake kulingana na brand yake.
- Yanga mara nyingi imeshindwa kutoa ushirikiano mzuri wakati wa kupitisha kanuni na pamoja na mtani wake Simba huwa zinahudhuria kwa kusuasua kwenye issue nyeti za mipango na maandalizi. Sakata la kadi tatu za kuchagua lililomhusu Ibrahim Ajibu lilitokana na Yanga kupuuzia vikao vya kubadilishwa kanuni ambazo hufanyika kabla ya Ligi kuanza lakini Yanga ikaja kutoa povu wakati kanuni inatumika!!! Simba lkn mara kadhaa hujitahidi na kuiacha Yanga ikizidi kujivuta miguu.
- Yanga, katika timu zote imeshindwa kuhudhuria peke yao na kutoa sababu zisizo na mashiko. Haiwezekani, timu zote zipate taarifa na Yanga ishindwe kupewa taarifa ya kupokea jezi na vifaa vingine eti kwa kitu kinachoitwa hujuma!!!

Mashabiki na wanazi wa timu hii kama huyu mtoa mada wanapaswa kuuliza maswali magumu kwa viongozi wao ambo mara nyingi hukimbilia kwenye vyombo vya habari kukata soo kwa kuwabambikia TFF au Bodi ya Ligi. Sio wakati wa kujifariji wakati uzembe unaonekana waziwazi. Ipo siku itawakosti vibaya zaidi and it will be too late.
Mkuu mpira unaujua vizuri sana wa kibongo...safi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaelewa bado, kutohudhuria halfa ya ugawaji vifaa na anguko la Yanga kuna mahusiani gani...
 
Ubingwa VPL unabaki Jangwani....na canavaro anavunja rekodi ya kuwa captain aliyenyanyua kwapa mara nyingi
 
Hivi huu ugonjwa wa kutokuhudhuria mialiko Yanga bado haujapona tu hata ktk kipindi hiki ambapo kiongozi wa utawala ni Charles Mkwasa mtu ninayemheshimu sana?

- Yanga ilikosa kuhudhuria kikao cha CAF wakati wa maandalizi wa mechi za robo fainali za kombe la shirikisho. Katika timu zote 8 zilizozheza michuano hiyo ni YANGA pekee haikuhudhuria. Matokeo yake sote ni mashahidi, Yanga ilijikuta ikiwa haijui haki na mipaka ya urushwaji wa mechi zao hili lilikuwa kubwa sana na ndio chimbuko la malumbano baina ya Jerry Muro na Selestine Mwesigwa hadi Jerry kufungiwa.
- Yanga ilishindwa kutoa ushirikiano wa dhati wakati wa mazungumzo ya udhamini wa Azam TV kwa vilabu vya Ligi Kuu. Ilisikika ikipinga maazimio nje ya vikao lakini haikuweza kuhudhuria ili kuinfluence kipato zaidi kwake na mtani wake kulingana na brand yake.
- Yanga mara nyingi imeshindwa kutoa ushirikiano mzuri wakati wa kupitisha kanuni na pamoja na mtani wake Simba huwa zinahudhuria kwa kusuasua kwenye issue nyeti za mipango na maandalizi. Sakata la kadi tatu za kuchagua lililomhusu Ibrahim Ajibu lilitokana na Yanga kupuuzia vikao vya kubadilishwa kanuni ambazo hufanyika kabla ya Ligi kuanza lakini Yanga ikaja kutoa povu wakati kanuni inatumika!!! Simba lkn mara kadhaa hujitahidi na kuiacha Yanga ikizidi kujivuta miguu.
- Yanga, katika timu zote imeshindwa kuhudhuria peke yao na kutoa sababu zisizo na mashiko. Haiwezekani, timu zote zipate taarifa na Yanga ishindwe kupewa taarifa ya kupokea jezi na vifaa vingine eti kwa kitu kinachoitwa hujuma!!!

Mashabiki na wanazi wa timu hii kama huyu mtoa mada wanapaswa kuuliza maswali magumu kwa viongozi wao ambo mara nyingi hukimbilia kwenye vyombo vya habari kukata soo kwa kuwabambikia TFF au Bodi ya Ligi. Sio wakati wa kujifariji wakati uzembe unaonekana waziwazi. Ipo siku itawakosti vibaya zaidi and it will be too late.
Hata kama hoja zako zingekuwa sahihihi, bado haihalalishi Yanga kutoalikwa kwenye hafla hiyo.
 
Back
Top Bottom