Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
Kwanza napenda kumpongeza Prof Assad kwa kuteuliwa kuwa CAG mpya... Kwa jinsi huyu bwana alivyoshika dini, sijui watakaotaka kumuhonga wataanzia wapi. Ni msomi asiye na makuu wala tamaa za mali...
Nimekaa na kuwaza kwa umahiri wa JF kuibua mambo wakati yako jikoni, imewezekanaje taarifa za kupatikana kwa CAG mpya halikulifikia jamvi la JF ihali mtu alishaanza kupiga mzigo tangu tarehe tano mwezi wa kumi na moja?
Kweli inabidi timu ya inteligensia ya JF ijiuzulu kwa kuzembea kupata taarifa hii mapema. La sivyo iombe radhi jukwaa la wana JF ambao wanategemea kwa kiasi kikubwa kupata habari wakati bado ziko jikoni kupitia JF.