Kwa hili la elimu:kwa nini lowassa asiwe rais wetu 2015

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kwako mh raisi kikwete
kwanza naomba kuanza na kidumu chama cha mapinduziiiiiiiiiiiii na minii umeitikia kwa kunyoosha mkono nisiouwona aila mungu ameuona

mh rais kuna sekta nyingi mmekuwa nazo makini sana wakati wa uongozi wako lakini hili la elimu
kama umeamua kutunjia baharini vile kana kwamba kama huna hela za st..naninooo kafie mbali

mh rais nimekuja kwa lengo moja la kukupongeza kwa kupokea ushauri wa mh mstaafu waziri mkuu edward lowasa...lowasa amekuwa akingaka sana swala la kazi kwa vijana naamini uamuzi wake wa kwenda hadharani na kuomba serikali ijimwage kuunda tume kwa ajili ya matokeo haya machafu
na leo nimefurahishwa kusikia waziri mkuu pinda akiunda tume kuchunguza kiini cha kufeli wanafunzi mwaka huu

mh rais binafsi tunakuitaji ila kwa hili la elimu nilitamani lowassa awe rais hata kabla ya 2015 ila kwa kuwa sheria zinatutaka kusubiri 2015 basi hakuna njia kusubiri

kwa kweli mzee wetu kwa mnaokumbuka zile shule za kata ndie aliekuwa kwenye wimbi la kuzijenga leo hii vile viwanja vya kishenzi vya mpira vilivyokuwa vikiuzwa na madiwani na mameya akama londa aliamua kujenga shule humo humo ndan na leo nenda sinza,tandale ,mbagala kila sehemu kajaza shule

kwa kuwa tunaamini mungu ndie aliekuongoza hili mh lowassa basi twaamini atakuongoza kwenye kutuletea maisha bora kwa kila mtanzania hapo 2016 na kuachana na porojo za chama kila siku

mungu akubariki rais wetu kikwete akubairiki na kukuongoza hata kutimiza mawazo yanayotoka nje ya uongozi wako

tunakutakia mkutano mwema huko addis naamini utakuja na kuelekea zanziba leo wamechinja tena sheikh naamini wamebakiza kiongozi wa wapagani tu kutimiza azma yao
 
Nafikiri hakuna asiyejua kuwa kuwa Lowasa ni mchapazi na ndiye kiongozi angestahili kuiongoza hii nzhi kipindi kichacho
TATIZO; anapenda kujilimbikizia mali..akipewa Uraisi si atakuwa trilionea???
 
Hapo ni usaniii tu uanoendelea, na hata huyu Lowasa si yuko ndani ya CCm na mjumbe wa kamati kibao, Ila kama uchapakazi wake ndio ulimfanya ajiuzuru Uwaziri mkuu basi hakuna ubishi, Cha Mpanzi aegukienda kulima shamba na kupanda Mbegu bila kulitunza shamba atavuna Mabua, Ndio elimu inavyochezewa kuna shule, hakuna walimu, hakuna maabara, sasa unachotegemea kuvuna nini....?/ kama sio felia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…