Kwa hili la Kigwangwala, Simba wanachezea almasi mchangani

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Kigwangwala also known as SAID BAGAILE ni mgodi unaotembea baada ya kuitumikia nchi kwa uadilifu mkubwa na ustadi akiwa naibu waziri kisha waziri sasa ni wakati wa simba sc kumtumia kwa uzuri.

Kila siku Bagaile anatoa malalamiko jamhuri ya twitter na ma parody yamemgeuza mdoli punching bag kasoro wana yanga wanaomshangilia kwa madini anayotema na sope binobino linalomsapoti kwa ku screenshot madini yake.

Simba mpeni nafasi Bagaile aipaishe team kama alivyofanya wizara ya maliasili jama ni kichwa, kama huamini ona jinsi alivyoisaidia kampuni bora ya Q net katika kutatua shida za watanzania. Q net oyee bagaile oyee GOOD MORNING.

qnet.JPG
 
Angekua bora angechunguza kwanza Q-net inafanya kaz gan kabla ya kuingia nao mazungumzo na kupiga pic ambayo imekuja kua mwiba kwa vijana wataftaji
 
achunguze nini wakati ana hisa za kutosha huko Q net na ma idea yake yanaendesha day to day operations
 
Kigwangwala also known as SAID BAGAILE ni mgodi unaotembea baada ya kuitumikia nchi kwa uadilifu mkubwa na ustadi akiwa naibu waziri kisha waziri sasa ni wakati wa simba sc kumtumia kwa uzuri.

Kila siku Bagaile anatoa malalamiko jamhuri ya twitter na ma parody yamemgeuza mdoli punching bag kasoro wana yanga wanaomshangilia kwa madini anayotema na sope binobino linalomsapoti kwa ku screenshot madini yake.

Simba mpeni nafasi Bagaile aipaishe team kama alivyofanya wizara ya maliasili jama ni kichwa, kama huamini ona jinsi alivyoisaidia kampuni bora ya Q net katika kutatua shida za watanzania. Q net oyee bagaile oyee GOOD MORNING.

View attachment 2288887
Huyu alitoa kafara mtoto ili apate uwaziri,sasa ndugu zake wamwangalie sana atatoa tena mtoto maana ana mahangaiko sana ya kuwa nje ya cabinet kila mtu anamuona mchawi kwake
 
unajua beef ilipoibuka watu kadhaa hadi wakubwa walimuomba atulize wenge mtandaoni team itulie sasa naona ka miss ile hali ya kubembelezwa mbaya zaidi kachuniwa na twitter kageuka kituko aisee maskini bagaile,dah sope albino eti ndo mshkaji wake sasa hivi ana screenshot posts zake wanasapotiana wenyewe
 
Kigwa hayuko sawa kichwani..tayari ana tatizo la afya ya akili..kuna vitu havihitaji akili nyingi kuviona..kuna mambo yanamsumbua kichwani.
 
Back
Top Bottom