njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
ANAFURAHISHA MNOO simba inabidi wamtumie kaama wanataka kuchukua ubingwa wa afrika, matokeo yake anageuzwa mdoli huko twitterHahaha kigwa atakuwa amewakera sana
kaipaisha q net atashindwa simba, bagaile ni geniusQ- net sio Simba Sc.
hiyohiyo mwamba alifungua jengo akiwa waziri na ma idea yake wanayafanyia kazi sasa simba ndiyo imshinde?Ni Qnet hii hii iliyotapeli walimu na wastaafu au kuna Qnet nyingine?!
achunguze nini wakati ana hisa za kutosha huko Q net na ma idea yake yanaendesha day to day operationsAngekua bora angechunguza kwanza Q-net inafanya kaz gan kabla ya kuingia nao mazungumzo na kupiga pic ambayo imekuja kua mwiba kwa vijana wataftaji
Huyu alitoa kafara mtoto ili apate uwaziri,sasa ndugu zake wamwangalie sana atatoa tena mtoto maana ana mahangaiko sana ya kuwa nje ya cabinet kila mtu anamuona mchawi kwakeKigwangwala also known as SAID BAGAILE ni mgodi unaotembea baada ya kuitumikia nchi kwa uadilifu mkubwa na ustadi akiwa naibu waziri kisha waziri sasa ni wakati wa simba sc kumtumia kwa uzuri.
Kila siku Bagaile anatoa malalamiko jamhuri ya twitter na ma parody yamemgeuza mdoli punching bag kasoro wana yanga wanaomshangilia kwa madini anayotema na sope binobino linalomsapoti kwa ku screenshot madini yake.
Simba mpeni nafasi Bagaile aipaishe team kama alivyofanya wizara ya maliasili jama ni kichwa, kama huamini ona jinsi alivyoisaidia kampuni bora ya Q net katika kutatua shida za watanzania. Q net oyee bagaile oyee GOOD MORNING.
View attachment 2288887
Hiyo hiyo aliifagilia sana kipindi kile akiwa waziriNi Qnet hii hii iliyotapeli walimu na wastaafu au kuna Qnet nyingine?!
unajua beef ilipoibuka watu kadhaa hadi wakubwa walimuomba atulize wenge mtandaoni team itulie sasa naona ka miss ile hali ya kubembelezwa mbaya zaidi kachuniwa na twitter kageuka kituko aisee maskini bagaile,dah sope albino eti ndo mshkaji wake sasa hivi ana screenshot posts zake wanasapotiana wenyeweHuyu alitoa kafara mtoto ili apate uwaziri,sasa ndugu zake wamwangalie sana atatoa tena mtoto maana ana mahangaiko sana ya kuwa nje ya cabinet kila mtu anamuona mchawi kwake