Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,294
- 10,970
Hapa duniani kuna mambo mengi sana
Yanayofurahisha na kumtia hamasa mwandamu .
Kwa mujibu wa wachunguzi wa mambo hasa wanasaikolojia wanaamini kilele cha furaha kwa mwanadamu ni pale unapomgeuza adui yako kuwa mtumishi wako mtiifu.
Kwa muda mrefu chadema walimwandama sana Edward Lowasa kwa kumuita ni fisadi papa, walifikia hadi hatua ya kumuweka kwenye list of shame.
Kwa njia ya kubadilisha gia angani Edward Lowasa alikaribishwa chadema na kupewa mamlaka yote ndani ya chama.
Kuanzia kipindi hicho CHADEMA na bavicha kwa ujumla ndio wamekuwa walinzi na wasafishaji wakubwa wa Lowasa.!
Ukitaka kukutana na hasira za bavicha basi mguse Edward Lowasa!!
Hongera Lowasa kwa kuwabadilisha watesi wako CHEDEMA hadi kuwa walinzi wako kwani ni watu wachache sana wanaoshuhudia adui yao akiaibika.
Sent using Jamii Forums mobile app