Kwa hili la leo Hamisa Mobetto aingizwe kwenye orodha ya mashujaa wa vita vya Kagera(Uganda) 1979

Kwa hili la leo Hamisa Mobetto aingizwe kwenye orodha ya mashujaa wa vita vya Kagera(Uganda) 1979

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
IMG_20170919_114545.jpg


Hakika baada ya Diamond kuhepa hepa kuhusu Mtoto Nasib Abdul leo amekiri kuwa ni suna yake.......

Hamisa ni shujaa kwasababu hakurudi nyuma aliendelea kuchokonoa hadi Mzee Baba yakamfika shingoni inabidi ajitokeze kusafisha hewa.......

Kama Diamond angepuuza makombora ya Hamisa hakika yule Binti wa Kiganda angeibuka Shujaa lakini kwakua makombora yameifikia Ngome ya Madale na kwa Madiba basi mshindi Sukari ya Kitanzania Hamisa.....

Pia Watanzania tumemuunga mkono Diamond mpaka amekuwa lulu lakini uzazi kahamishia kwa Mjukuu wa IDD Amin Dada..... Kwa hili Hamisa ni shujaa wetu kurudisha uzazi nyumbani Tanzania....... Na Sasa tumepata mrithi wa Mali za Diamnond ambaye ni Mtanzania halisi kabisa......

Mwisho: Serikali muongezeni Hamisa Mobeto kwenye orodha ya Mashujaa wa vita vya Kagera au maarufu kama Vita vya Uganda....... Ikiwezekana impatie na ulinzi madhubuti
 
HUYU NI MMOJA WA WALE WAROPOKAJI AMBAO SIDHANI KAMA HATA AMEFUATILIA MAHOJIANO YALE
 
Pia wamuongezee ulinzi maana kuna watu wasiojulikana siku hizi. Mzazi yoyote aliepitia yaliyompata Hamisa anajua kwa nini binti huyu kafanya hivyo mie nampongeza sana Dai aendelee na Zari wake lakini yule mtoto anae baba.
 
Pia wamuongezee ulinzi maana kuna watu wasiojulikana siku hizi. Mzazi yoyote aliepitia yaliyompata Hamisa anajua kwa nini binti huyu kafanya hivyo mie nampongeza sana Dai aendelee na Zari wake lakini yule mtoto anae baba.
Kweli kabisa mkuu
 
Kwani Alikuwa na vita na nini? Kwani daimond alikataa kwake? Akubali kwenu Inahusu? Kwani mimba mlipewa nyinyi?
 
“Children are wonderful. It don’t take plenty y’know. Just a nice girl who don’t take birth control. Sexual intercourse is a lovely thing”

Bob Marley



Naona Diamond anataka kuwa kama BOB MARLEY.

Sio Mbaya, Bob mwenyewe alisema Children are Good thing, a gift from God.

Bob Marley: All His Children & 9 Baby Mommas
by Raul on July 26, 2011 in Bob Marley


Bob Marley married Rita Anderson on February 10, 1966.



Rita brought a daughter into the marriage (Sharon) from a previous relationship and although not officially acknowledged so did Bob (Imani).


Bob & Rita Marley together would have four children during their marriage. Marley also fathered eight more children with eight different women during this time. Not one to be left behind, Rita also had a child (Stephanie) as a result of an affair during her marriage to Bob. Rumor has it that there are several other “unclaimed” or “forgotten” children of Bob Marley, but to the best of our knowledge this is the complete list of Bob Marley’s children and mothers.

Imani Carole Marley born May 22, 1963 (with Cheryl Murray)


Imani is Bob’s first born child but for reasons unknown she is not acknowledged as such on the official Bob Marley website.

Sharon Marley born November 23, 1964 (adopted by Bob)


Sharon was born two years before Rita married Bob to an unnamed man but Bob adopted her as his own and she is offically recognized as one of his children.

Cedella Marley born August 23, 1967 (with Rita)


Cedella is Bob and Rita’s oldest child together and she along with some her siblings were part of the group Ziggy Marley and the Melody Makers. Cedella who was named after Bob’s mother is a clothing designer and CEO of Tough Gong International.

David “Ziggy” Marley born October 17, 1968 (with Rita)


David Nesta “Ziggy” Marley is Bob’s oldest son and the front man of Ziggy Marley and the Melody Makers.

Stephen Marley born April 20, 1972 (with Rita)


Stephen is Bob & Rita’s last child together and the fourth member of the band Ziggy Marley and the Melody Makers.

Robert “Robbie” Marley born May 16, 1972 (with Pat Williams)


Robbie was born less than a month after Stephen and was Bob’s first of many children he fathered without his wife Rita. Not much is known about his mother Pat “Lucille” Williams as Robbie was brought to live with Bob and Rita. He is not a musician and has mostly stayed out of the spotlight as a motorcycle stunt rider.

Rohan Marley born May 19, 1972 (with Janet Hunt/Dunn)


Rohan was born just three days after brother Robbie and a month after brother Stephen. Not too much is known about Rohan’s mother Janet Hunt other than the fact that Rohan was also eventually brought to live with Bob and Rita at the age of four years because Janet was not caring properly for him. Rohan attended the same school as Ziggyand Stephen, but he was a trouble maker to the point that he was sent to live with Bob’smother Cedella Booker in Miami. He played linebacker at “The U” (The University of Miami) and is also notorious for having five children with singer Lauren Hill. In 2009, he co-founded Marley Coffee, an organic coffee plantation and sustainable farming business in Jamaica’s Blue Mountains.

Karen Marley born 1973 (with Janet Bowen)


Karen, is the third biologocal daughter of Marley, she was born in England in 1973 to her mother Janet Bowen aka “Janet From England“. Karen grew up in Jamaica with the Marley’s and attended school with Stephanie.

Stephanie Marley born in 1974 (adopted by Bob)


Stephanie was born out of wedlock after Rita had an affair with a man named Ital. Bobadopted Stephanie and accepted her as his own and she is officially recognized as one of his children.

Julian Marley born June 4, 1975 (with Lucy Pounder)




Julian was born in London and raised by his mother, Lucy Pounder although she did bring Julian to visit the Marley’s in Jamaica and Miami. He is a singer, songwriter, producer and self-taught musician with three albums to his credit, most recently 2009’s Grammy-nominated album Awake.

Ky-Mani Marley born February 26, 1976 (with Anita Belnavis)


Ky-Mani was born in Jamaica to Bob’s then-girlfriend Anita Belnavis, a Caribbean table tennis champion, and raised in inner-city Miami. Ky-Mani was initially more interested in sports than in making music, but that all changed when he discovered a knack for rapping and singing and released his debut album, Like Father Like Son, in 1996.

Damian Marley born July 21, 1978 (with Cindy Breakspeare)




Damian mother was 1976 Miss World Cindy Breakspeare and one of Bob’s most known about girlfriends. Damian is nicknamed “Jr. Gong” after his father. and is a dancehall reggae artist and Grammy Award winner. In 2010 he teamed up with Nas on the collaborative album Distant Relatives, which bridged the gap between dancehall and hip-hop.

Madeka Marley born May 30, 1981 (with Yvette Crichton)


Makeda Jahnesta Marley was born to Yvette Crichton in 1981 in Miami mere weeks afterBob’s death. She is the singer’s youngest child, but she did not grow up with or around any of her half siblings. She attended high school and college in Pennsylvania and currently resides in the Philadelphia area.



“Children are wonderful. It don’t take plenty y’know. Just a nice girl who don’t take birth control. Sexual intercourse is a lovely thing”

Bob Marley

Fact: Bob Marley’s Dad Was White

SIGNATURE
Hasta La Victoria Siempre'
 
kingine dai wewe ni chitombi hilo halina ubishi..... basi jitahidi kutumia kinga mweeh. ....kila mwaka mtoto jamani
2015...tifa
2016....nillan
2017....dyllan/dully.
hivi magufuli akimaliza miaka yake kumi na wewe si utakuwa umefikisha kumi
 
washaintroduce kuwa leo watakuwa na diamond. na inaonekana hii interview inasubiriwa sana kwa sababu wamesema wanaungana na clouds tv. sasa hivi zinapigwa ngoma katika kusogeza sogeza muda. now linapigwa dude la young killer ft harmonize.
saa 10:45
inapigwa ngoma ya ben pol..kidume.
saa 10:47
inapigwa ngoma ya joh makini ft. davido. tuendelee kusubiri
saa 10:51
inapigwa nyimbo ya Nandi sijui inaitwaje...nasikia tu moyooo moyoooo...tundelee kuwa wavumilivu wapenda ubuyu wenzangu.
saa 11:03
mahojiano ndo yameanza..
saa 11:03
diamond: ni mimi ndiye huposti kwenye account yangu ya instagram. sijawa maarufu kiasi cha kuajiri mtu kwa ajili ya konipostia.
saa 11:13
anaaanza kutoa maelezo..lakini ameanza kwa kusisitiza kuwa kuwa mtoto siyo wake. na anaanza kama ifuatavyo
saa 11:15
daimond: hamisa tumefahamiana naye kuanzia 2010 na tukawa na mahusiano lakini tukaachana. ilikuwa ni kabla ya kuanza mahusiano na wema.
sasa 11:23
katikati aliingia shetani lakini nikamwambia kuwa nina familia. haya tuliyofaya tubaki siri yetu mimi na wewe. nikampigia nikamuuliza lakini akasema yeye hahusiki. lakini baadaye akaniambia kuwa ana ujauzito wangu. na nikaanza kuilea lakini nikamwambia ninailea kwa sababu kama baba. zari alikuwa akiniuliza nikawa namwambia ni uzushi.
saa 11:28
nilimwambia kuwa mimi kwa namna yoyote siwezi kuachana na zari.
mama yake alinifuata akaniuliza kwa nini siongei na mwanae mimi nikamwambia kuwa mwanao anachukua karibu laki tano kwa wiki, nimemnunulia rav 4 na nimemwambia kuwa atafute mradi mimi nikamsadia.
nilitoka London na nilipofika nikalala na mwanangu
(tunapata breaaaaaaak kidogo)
tunarudi tena....
saa 11:49
diamond: katika maisha hivi vitu vinatokea ila kama mwanaume unatakiwa ujue una solve vipi hayo.
 
Mademu wa tz wanamchukia zari kwasababu kawazidi kwa pesa hadi uzuri Ndo maana wanampa sifa huyo mdada (bitch is dying for fame) ambaye plan yake kubwa ilkuwa kuwavuruga mondi na zari ili awe maza hausi. Mondi alichowajibu leo mpaka nimefurahi japokuwa mimi sina uteam ndani yangu. Mondi kasema hawezi kuachana na yule mama tens alivokuwa anaongea kwa msistizo ndo nikamwelewa zaidi dah.
 
Amemuangusha Nduli.....Huu ni ushindi muhimu kwa Watanzania...hata ikibidi kupitia kipindi kigumu kwa kupewa 75,000 kwa mwezi baada ya hili lakini tumeshinda.....
Kaitizame video ile...

Unalishwa maneno na hujui kilichosemwa..
 
Minachekaga sana kuna watu familia za watu zinawauma kama ndugu yani
 
Back
Top Bottom