Kwa hili la leo Hamisa Mobetto aingizwe kwenye orodha ya mashujaa wa vita vya Kagera(Uganda) 1979


Kwa uZuri hapana labda pesa za don
 
Kutoka kupewa laki 5 kwa wiki mpaka laki 2 kwa mwezi kama ni ushujaa sawa.
Diamond lost the battle but won the war
 
Ushujaa wa kulala na waume za watu?sasa angalia MAJUTO YANAYOMFIKA kutoka kupata 500000 kwa week hadi kufikia 200000 kwa mwezi..huo ndy USHUJAA?matokei yake imeonyesha kumbe hata hyo mimba aliibeba kwa MALENGO ya kupiga pesa....analazinisha alipwe 5 ml kwa mwezi...kama sio biashara ilikuwa ni kitu gn?
 
Bob Marley ni noma

Nitaendelea kuwa Fan wake
 
Dai akikubali naomba na nishtue na Mimi nikabebe mimba
 
Haingii akilini, Hamisa ameingilia mahusiano ya watu, kafitinisha uhusiano wa mwanamke mwenzake huo ni ushujaa gani sasa, akili zako hazipo sawa.
 
Ni mchepoko tu. Fungi la nyanya. Nassibu kesha sema mtoto ni wake. Mama mtoto sio wake. Kashinda wapi? Kamwambia amtunze mtoto sio kujitupo hadharani
 
Hakika anastahili pongezi
Pia wanaume inatakiwa tujifunze kwa hiki kilichomkuta mond
 
kingine dai wewe ni chitombi hilo halina ubishi..... basi jitahidi kutumia kinga mweeh. ....kila mwaka mtoto jamani
2015...tifa
2016....nillan
2017....dyllan/dully.
hivi magufuli akimaliza miaka yake kumi na wewe si utakuwa umefikisha kumi
Wacha agegede mizigo kwa kwenda mbere maisha bongo shot
 
Sawa kawazidi kwa pesa na uzuri ila ndonga ya dai wanashare wote wewe imekuuma sio?
 
Hapo kwenye red wengi mtakuja kuwa disappointed maana huyo mjukuu wa Amin ndicho kilichomleta na kama ilivyokuwa kwa mume wa kwanza huwezi jua itakuwaje hapa hasa ukichukulia kijana wetu masuala ya madocuments hajabobea vizuri na hatujui alisainishwa nini hapo kabla!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…