Kwa hili la leo Hamisa Mobetto aingizwe kwenye orodha ya mashujaa wa vita vya Kagera(Uganda) 1979

Mi nadhani ingekuwa vyema na wewe ungezaa mtoto mmoja na Diamond. Fanyeni kazi, achaneni na vizazi vya watu.
 
Bob was blessed with lots of kids
 
Hamisa kabla hajazalishwa na Jizo,nilikuwa natafuta gap nimpate Lakini baada ya hapo ilibidi kukimbiaa
 
Acha kufananisha MASHUJAA na vitu vya kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…