mkuu anaona, atajua cha kufanya kwa wakati wake.
Ila kwa tuhuma hizo kuendelea kuwepo, na kama zikithibitika bila shaka kuwa ni kweli kwa vyombo halali sio gwajima wala instagram na hatua halali zisichukuliwe zitafanya mfumo wote upooze.
Harakati za kutumbua za JK na Lws zilipooza rasmi baada ya Ishu ya Richmnond kuibuka, baada ya hapo kila kitu kikawa katika automatic mode. Hekima zisipotumika kuna hatari kurudi kulekule