Kwa hili la nishati safi ya kupikia hebu tuache blah blah

FYATU

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2011
Posts
5,567
Reaction score
4,683
Nikiwasikiliza viongozi wetu ni kama wanalalamika na kutupa lawama kwa Wananchi kwamba hatupendi kutumia gesi dhidi ya kuni na mkaa.

Ukweli mbona mnaujua, hakuna Mwananchi atakayehangaika na kuni au mkaa kama gesi itapatikana kwa urahisi. Muda na nguvu inayotumika kuhubiri nishati safi iende sambamba na juhudi za kupata gesi kwa urahisi.

Jana nimesikia kuna bwana amekamatwa Arusha kwa "kuchakachua" gesi,kwamba yeye anaingiza gesi kidogo kwenye mtungi na kuuzia Wateja. Kama inawezekana kufanya hivyo kwa nini wazo lake lisipewe muendelezo chanya?,ingawa yeye alikuwa anapunja Wateja na kuwaibia ila sasa auze kwa bei kuendana na alichojaza.

Soma Pia: Naibu Waziri TAMISEMI ahamasisha matumizi ya Nishati safi Kigoma, Agawa Mitungi ya Gesi 200

Kama ameweka robo basi auze bei ya robo gesi?badala ya kulazimisha Watu kulipa elfu 20+ ambayo wengi wanakuwa hawana. Na pia mitungi ya gesi mitupu ipatikane,Mtu anunue awe nao akipata ya kujazia akajaze kwa wakati wake.

Hili la kugawa mitungi tutagawa kwa wangapi?.Ni unafuu gesi pekee ndio utatufikisha tunakotamani na si mahubiri matupu.
 
AGIZA GESI YA KUPIKIA HAPOHAPO ULIPO USIONDOKE KAA HAPOHAPO MTAANI KWAKO
Gesi zote zipo: Oryx Gas, Taifa Gas, Manjis Gas, O-Gas, Total Gas, Mihan Gas, na Puma Gas: zote zinapatikana hapo
 
Back
Top Bottom