Kwa hili la Wachezaji wetu kuvalishwa Vijora Sisi Wanayanga Hatukubali

Rajab_Omar

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2016
Posts
16,482
Reaction score
27,182
Salaam Wananchi,


Kwa Masikitiko makubwa Mimi nikiwa Yanga kindakindaki sikubaliani na hili, Yani Simba watengenezewe Jezi halafu sisi tutengenezewe Vijora?

Kwa Vijora hivi sisi hatukubaliani na GSM kabisa.

Ona sasa Watani zetu wameshatupatia a.k.a mpya wanatuita VIJORA FC.

GSM munatukwaza.
 
Taarifa hizi unazo?
 
Simba ni klabu ya kipumbavu sana, muda wote wako bize kufuatlia mambo ya Yanga, Sasa hivi nchi nzima inaimba jina la CARHINHO, yule jambazi wa magari morison kashapotea, sisi ndio wananchi tunampandisha mchezaji na kumshusha
 
Hapa sisi Wananchi tulifeli sana tulipoamua kutengeneza Propaganda hii bila ya kufikiria.

Klichojionesha ni kwamba baada ya Stock ya mwaka Jana kutokuisha tumeamua kutumia Jezi za Simba kama njia ya kuzipa Promo Vijora vyetu.
Huku mikoani jezi ya Simba hutumika kama madekio.
 

The Kappa Real Betis 20-21 third football shirt introduces a bold design in two shades of grey, separated by a diagonal green line that depicts the Guadalquivir river, which is also known as Baetis or Betis and which the club is named after.....Mikia jifunzeni ubunifu
 
Huku mikoani jezi ya Simba hutumika kama madekio.

Sasa hapa ndiyo inasadifu yale Maneno ya Eymael aliyotuita sisi washabiki wa Yanga kuwa "Uneducated". Yani Stock ya Msimu uliopita tulishindwa kuiuza hata nusu yake mpaka GSM wakatishia kutokutoa Jezi mpya mpaka zimalize za Msimu uliopita halafu tuje tununue Jezi za Simba tupigie Deki? Bora tunyamaze tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…