Kwa Hili la wimbo wa Simba (official audio) viongozi Simba mmeleta utani!!

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
Kwa bahati mbaya Sana Mimi ninayeandika ninapenda Sana nyimbo! (Muziki) na mbaya zaidi naipenda Sana Simba!

Mimi Ni miongoni mwa tuliosubiria kwa hamu ujio rasmi wa wimbo huu!

Mara nyingi nimesikiliza Sana wimbo wa Real Madrid, Dortmund na baadhi ...

#Huu wimbo kwakweli una mapungufu mengi!
Ni wazi kuwa viongozi wangu mmekurupuka! Hakuna kitu kinadumu muda mrefu Kama wimbo! Sisi tunakufa lakini nyimbo hazifi!
Tena sembuse wimbo wa Mabingwa wa nchi this is Next level??
Waige wafe?

Haya..
1. Wimbo umekaa kihuni!
Hivi wimbo Kama huu Mimi na mke wangu tukae tuimbe?? Achilia mbali waziri, Raisi, au hata Mchungaji au shehe? Nani kasema Simba ni ya wahuni?

2. Wimbo haujulikani kinaimbwa Nini, Ni dua, Ni sala au maelezo ya timu au Ni hamasa!! Nani kaandika lyrics??
Huu Ni ukurupukaji wa next level..

3. Mchanganyo wa sauti na vyombo
Mixing na mastering very poor sauti ya tunda Kuna wakati haijulikani anaimba au anaongea Nini!

4. Spidi (tempo) kwanza sijawahi kuona timu yenye wimbo Wenye spidi Kama hivi....hii ni Anthem... Ni Kama mfano wa nyimbo za Taifa vile... Hii singeli iwekwe Kwenye vigodoro hukoo...

Sasa hii Nani ataimba?? Mashabiki gani ataimba kwa furaha huku ameweka mkono kifuani?? Huu Ni ujuha...

5. Chorus yake nayo haijulikani na kwa kuwasaidia nyimbo hizi Korasi yake inatakiwa kuwa yenye mvuto Sana! Na ndio inatakiwa kunogesha...

Nina mengi Ila hasira zimenijaa napenda Sana nyimbo Ila sio huu mchiriku...

Ni Bora tungechukua hata Ile ya Madrid tukaichakachua kidogo...

Tumeanza vizuri mnataka kuharibu Sasa....

Tusisifiwe mbio tukapitiliza kwetu....

allanclement6@gmail.com
 
Mkuu labda tu haupendi muziki aina ya mchiriku....
Mimi naona maneno yanasikika vizuri kabisa (au labda masikio yangu ni mabovu for good).
Kuhusu kuwa na maneno ya kihuni sijui ni maneno kama yapi ? (maana tunaweza kuwa tunatofautiana kwenye tafsiri ya uhuni wa maneno). Mfano, ''nenda kawaambie wenzako simba sports kiboko yao'', hayo maneno yanaweza kuwa ya kihuni kwako lakini sio ya kihuni kwa mwingine.

Binafsi naheshimu maoni na mtazamo wako, Simba ni yetu wote bila kujali tofauti zetu juu yanayofanyika klabuni hapo.
 
Wekeni namba zenu niwarushie
 
Ki ukweli wimbo haujawa na matokeo positive kama watu walivyotegemea ...chukulia mfano klabu ya realmadrid wana wimbo wao upigwa pale team inapokuwa home ikifunga goli..au kabla ya mechi kama kutia hamasa kwa wachezaji na mashabiki ,hivyo hivyo kwa Barcelona ,Liverpool,Manchester

Mfano real madrid [emoji1313]
 
Kwa bahati mbaya Sana Mimi ninayeandika ninapenda Sana nyimbo! (Muziki) na mbaya zaidi naipenda Sana Simba!

Mimi Ni miongoni mwa tuliosubiria kwa hamu ujio rasmi wa wimbo huu!

Mara nyingi nimesikiliza Sana wimbo wa Real Madrid, Dortmund na baadhi ...

#Huu wimbo kwakweli una mapungufu mengi!
Ni wazi kuwa viongozi wangu mmekurupuka! Hakuna kitu kinadumu muda mrefu Kama wimbo! Sisi tunakufa lakini nyimbo hazifi!
Tena sembuse wimbo wa Mabingwa wa nchi this is Next level??
Waige wafe?

Haya..
1. Wimbo umekaa kihuni!
Hivi wimbo Kama huu Mimi na mke wangu tukae tuimbe?? Achilia mbali waziri, Raisi, au hata Mchungaji au shehe? Nani kasema Simba ni ya wahuni?

2. Wimbo haujulikani kinaimbwa Nini, Ni dua, Ni sala au maelezo ya timu au Ni hamasa!! Nani kaandika lyrics??
Huu Ni ukurupukaji wa next level..

3. Mchanganyo wa sauti na vyombo
Mixing na mastering very poor sauti ya tunda Kuna wakati haijulikani anaimba au anaongea Nini!

4. Spidi (tempo) kwanza sijawahi kuona timu yenye wimbo Wenye spidi Kama hivi....hii ni Anthem... Ni Kama mfano wa nyimbo za Taifa vile... Hii singeli iwekwe Kwenye vigodoro hukoo...

Sasa hii Nani ataimba?? Mashabiki gani ataimba kwa furaha huku ameweka mkono kifuani?? Huu Ni ujuha...

5. Chorus yake nayo haijulikani na kwa kuwasaidia nyimbo hizi Korasi yake inatakiwa kuwa yenye mvuto Sana! Na ndio inatakiwa kunogesha...

Nina mengi Ila hasira zimenijaa napenda Sana nyimbo Ila sio huu mchiriku...

Ni Bora tungechukua hata Ile ya Madrid tukaichakachua kidogo...

Tumeanza vizuri mnataka kuharibu Sasa....

Tusisifiwe mbio tukapitiliza kwetu....

allanclement6@gmail.com
Nimeusikiliza nikakosa cha kusema. Ni mbovu, hauna chorus na kikawaida chorus ndio hushikwa na mashabiki. Tatizo hawajashirikisha watu bali walijifungia studio.
Wimbo hata hjeleweki kinaimbwa nini. Huu sio wimbo wa Simba.
 
Kwa bahati mbaya Sana Mimi ninayeandika ninapenda Sana nyimbo! (Muziki) na mbaya zaidi naipenda Sana Simba!

Mimi Ni miongoni mwa tuliosubiria kwa hamu ujio rasmi wa wimbo huu!

Mara nyingi nimesikiliza Sana wimbo wa Real Madrid, Dortmund na baadhi ...

#Huu wimbo kwakweli una mapungufu mengi!
Ni wazi kuwa viongozi wangu mmekurupuka! Hakuna kitu kinadumu muda mrefu Kama wimbo! Sisi tunakufa lakini nyimbo hazifi!
Tena sembuse wimbo wa Mabingwa wa nchi this is Next level??
Waige wafe?

Haya..
1. Wimbo umekaa kihuni!
Hivi wimbo Kama huu Mimi na mke wangu tukae tuimbe?? Achilia mbali waziri, Raisi, au hata Mchungaji au shehe? Nani kasema Simba ni ya wahuni?

2. Wimbo haujulikani kinaimbwa Nini, Ni dua, Ni sala au maelezo ya timu au Ni hamasa!! Nani kaandika lyrics??
Huu Ni ukurupukaji wa next level..

3. Mchanganyo wa sauti na vyombo
Mixing na mastering very poor sauti ya tunda Kuna wakati haijulikani anaimba au anaongea Nini!

4. Spidi (tempo) kwanza sijawahi kuona timu yenye wimbo Wenye spidi Kama hivi....hii ni Anthem... Ni Kama mfano wa nyimbo za Taifa vile... Hii singeli iwekwe Kwenye vigodoro hukoo...

Sasa hii Nani ataimba?? Mashabiki gani ataimba kwa furaha huku ameweka mkono kifuani?? Huu Ni ujuha...

5. Chorus yake nayo haijulikani na kwa kuwasaidia nyimbo hizi Korasi yake inatakiwa kuwa yenye mvuto Sana! Na ndio inatakiwa kunogesha...

Nina mengi Ila hasira zimenijaa napenda Sana nyimbo Ila sio huu mchiriku...

Ni Bora tungechukua hata Ile ya Madrid tukaichakachua kidogo...

Tumeanza vizuri mnataka kuharibu Sasa....

Tusisifiwe mbio tukapitiliza kwetu....

allanclement6@gmail.com
Wimbo mzuri mkuu. Alafu nyimbo za club sio za kushika kufua. Maudhui na midundo ni traditional style ambayo ni nzuri. Wew ulitakaje kwani mkuu
 
Mkuu labda tu haupendi muziki aina ya mchiriku....
Mimi naona maneno yanasikika vizuri kabisa (au labda masikio yangu ni mabovu for good).
Kuhusu kuwa na maneno ya kihuni sijui ni maneno kama yapi ? (maana tunaweza kuwa tunatofautiana kwenye tafsiri ya uhuni wa maneno). Mfano, ''nenda kawaambie wenzako simba sports kiboko yao'', hayo maneno yanaweza kuwa ya kihuni kwako lakini sio ya kihuni kwa mwingine.

Binafsi naheshimu maoni na mtazamo wako, Simba ni yetu wote bila kujali tofauti zetu juu yanayofanyika klabuni hapo.
Sikiloza YOO'LL NEVER WALK ALONE, wakiimba liver fans adui unaogopa.
Huu wimbo wa tunda mbovu kw kweli...waufute na wasikize nyimbo za wa mbele waone wenzao wanafanyaje. Wimbo w timu unatakiwa iwe na maana ila catchy..
 
Wimbo mzuri mkuu. Alafu nyimbo za club sio za kushika kufua. Maudhui na midundo ni traditional style ambayo ni nzuri. Wew ulitakaje kwani mkuu
Ktk huo wimbo mashabiki wakiwa uwanjani labda waashangilia au wanaimba tu, ni sehemu ipi ya wimbo wanaimba?
 
Kwa bahati mbaya Sana Mimi ninayeandika ninapenda Sana nyimbo! (Muziki) na mbaya zaidi naipenda Sana Simba!

Mimi Ni miongoni mwa tuliosubiria kwa hamu ujio rasmi wa wimbo huu!

Mara nyingi nimesikiliza Sana wimbo wa Real Madrid, Dortmund na baadhi ...

#Huu wimbo kwakweli una mapungufu mengi!
Ni wazi kuwa viongozi wangu mmekurupuka! Hakuna kitu kinadumu muda mrefu Kama wimbo! Sisi tunakufa lakini nyimbo hazifi!
Tena sembuse wimbo wa Mabingwa wa nchi this is Next level??
Waige wafe?

Haya..
1. Wimbo umekaa kihuni!
Hivi wimbo Kama huu Mimi na mke wangu tukae tuimbe?? Achilia mbali waziri, Raisi, au hata Mchungaji au shehe? Nani kasema Simba ni ya wahuni?

2. Wimbo haujulikani kinaimbwa Nini, Ni dua, Ni sala au maelezo ya timu au Ni hamasa!! Nani kaandika lyrics??
Huu Ni ukurupukaji wa next level..

3. Mchanganyo wa sauti na vyombo
Mixing na mastering very poor sauti ya tunda Kuna wakati haijulikani anaimba au anaongea Nini!

4. Spidi (tempo) kwanza sijawahi kuona timu yenye wimbo Wenye spidi Kama hivi....hii ni Anthem... Ni Kama mfano wa nyimbo za Taifa vile... Hii singeli iwekwe Kwenye vigodoro hukoo...

Sasa hii Nani ataimba?? Mashabiki gani ataimba kwa furaha huku ameweka mkono kifuani?? Huu Ni ujuha...

5. Chorus yake nayo haijulikani na kwa kuwasaidia nyimbo hizi Korasi yake inatakiwa kuwa yenye mvuto Sana! Na ndio inatakiwa kunogesha...

Nina mengi Ila hasira zimenijaa napenda Sana nyimbo Ila sio huu mchiriku...

Ni Bora tungechukua hata Ile ya Madrid tukaichakachua kidogo...

Tumeanza vizuri mnataka kuharibu Sasa....

Tusisifiwe mbio tukapitiliza kwetu....

allanclement6@gmail.com
Clubs za mpira nyimbo yake inakuwa moja tu mfano BARCA, LIVERPOOL, MADRID,BAYERN
hizo team nyimbo yao waga haibadiriki kabiasa.

nashangaaga sana bongo mara nyimbo kaimba msagasumu , mara tundaman, mara Steve Nyerere, mara shilole ,sunura ,mara sholo mwamba,tena wanaimba wakitoka kuvuta bangi nyimbo inakuwa kama wameimbiwa wahuni flani Tu.

mashabiki wa izo team washaurini kina manara waache uswahili Kwenye mpira soccer sio kigodoro.
 
Kama ingewezekana baadhi ya mambo kabla ya kupitishwa rasmi basi uongozi/viongozi wangetoa nafasi ya kupata maoni toka wapenzi, nk.
Mfano, kama nafasi ya maoni ingetolewa kuhusu slogan ya mwaka huu ya "IGA UFE, THIS IS NEXT LEVEL" kabla ya kupitishwana au kutangazwa rasmi nadhani watu wengi sana wangeshauri kuachana na maneno ya IGA UFE. Hili neno halijakaa vizuri. Linaakisi kama neno la MIPASHO fulani hivi. Labda lingetafutwa neno la mshikamano zaidi. Mfano, "Simba Tushikamane, This is Next Level " Ten Years.........
 
Back
Top Bottom