Kwa hili la Yanga kupigwa faini Simba SC ndio wa kulaumiwa

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Yanga wamepigwa rungu huko CAF Kwa kuendekeza ukanjanja wao waliozoea kuufanga kwenye ligi kuu Tanzania Bara na yakawakauta yalio wakuta .

Hivi sasa wanahaha. Na vikoba kupata hiyo pesa waliopigwa faini ..

Siwezi kuwalaumu Yanga wala TFF kwasababu wahenga walisha sema Jasiri hawezi kuacha Asili yake.

Ukanjanja kwa yanga ni asii yao na ni jadi yao hawawezi kuacha hata wapelekwe UEFA ACHAMPIONS LEAGUE wata taka kuroga na maukanjanja yao mengine mara wapige watu mara waoneshane madole ya kati mara wagome kuingia vyumbani ..yani ni nyani nyani tu ...

Hapa mimi naelekeza lawama zangu kwa clabu ya Simba kwa kufanya vizuri huko clabu bingwa kitu kilicho pelekea mpaka mazwazwa na wao kwenda huko kulitia aibu Taifa ..

Kwanza wamekandwa pili wamefanya mambo ya fedhea ...
soka letu halija fika kupeleka clabu 2 clabu bingwa huko, tengeenda pole pole haya yote yasinge tokea

Kama yanga asinge enda huko kwa mbeleko ya simba ni wazi kua yasinge wakuta haya..

Simba waache vihere here ova.!

JamiiForums575203171.jpg
 
Yanga wame pigwa rungu huko CAF Kwa kuendekeza ukanjanja wao walio zoea kuufanga kwenye ligi kuu Tanzania Bara na yaka wakauta yalio wakuta .

Hivi sasa wanahaha. Na vikoba kupata hiyo pesa walio pigwa faini ..

Siwezi kuwalaumu Yanga wala TFF kwasababu wahenga walisha sema Jasiri hawezi kuacha Asiri yake ...

Ukanjanja kwa yanga ni asiri yao na ni jadi yao hawawezi kuacha hata wapelekwe UEFA ACHAMPIONS LEAGUE wata taka kuroga na maukanjanja yao mengine mara wapige watu mara waoneshane madole ya kati mara wagome kuingia vyumbani ..yani ni nyani nyani tu ...

Hapa mimi naelekeza lawama zangu kwa clabu ya Simba kwa kufanya vizuri huko clabu bingwa kitu kilicho pelekea mpaka mazwazwa na wao kwenda huko kulitia aibu Taifa ..

Kwanza wamekandwa pili wamefanya mambo ya fedhea ...
soka letu halija fika kupeleka clabu 2 clabu bingwa huko, tengeenda pole pole haya yote yasinge tokea

Kama yanga asinge enda huko kwa mbeleko ya simba ni wazi kua yasinge wakuta haya..

Simba waache vihere here ova.!View attachment 1972545
Mkuu jina unalotumia na uandishi wako ni mbingu na ardhi
 
Simba sio tu ni timu kubwa bali ni timu yenye nidhamu kupita zote za hapa nchini tz.
Ila ipo kama mtoto wa kambo, anasubiriwa afanye vibaya ndio asemwe na vyombo vya habari vya hapa tz.
Hawezi kusifiwa anapofanya vizuri
 
Yanga wamepigwa rungu huko CAF Kwa kuendekeza ukanjanja wao waliozoea kuufanga kwenye ligi kuu Tanzania Bara na yakawakauta yalio wakuta .

Hivi sasa wanahaha. Na vikoba kupata hiyo pesa waliopigwa faini ..

Siwezi kuwalaumu Yanga wala TFF kwasababu wahenga walisha sema Jasiri hawezi kuacha Asili yake.

Ukanjanja kwa yanga ni asii yao na ni jadi yao hawawezi kuacha hata wapelekwe UEFA ACHAMPIONS LEAGUE wata taka kuroga na maukanjanja yao mengine mara wapige watu mara waoneshane madole ya kati mara wagome kuingia vyumbani ..yani ni nyani nyani tu ...

Hapa mimi naelekeza lawama zangu kwa clabu ya Simba kwa kufanya vizuri huko clabu bingwa kitu kilicho pelekea mpaka mazwazwa na wao kwenda huko kulitia aibu Taifa ..

Kwanza wamekandwa pili wamefanya mambo ya fedhea ...
soka letu halija fika kupeleka clabu 2 clabu bingwa huko, tengeenda pole pole haya yote yasinge tokea

Kama yanga asinge enda huko kwa mbeleko ya simba ni wazi kua yasinge wakuta haya..

Simba waache vihere here ova.!

View attachment 1972545
Yanga ndio kwanza mwaka huu ameshiriki michuano mikubwa, lakini mbona CAF, wametoa onyo kwa uhuni unaofanywa na timu za Tz, kwenye vyumba vya kubadirishia nguo, kuwa kuna dawa zimekuwa zikipulizwa?na ushahidi upo wa video SIMBA, wakifanya hayo!!!tatizo letu chama cha soka kinaziogopa sana hizi timu mbili!!kama vipi wapige ban tu mechi zote za virabu zichezwe nje,
 
Kwakua wewe umeshatolewa.
 
Yanga wamepigwa faini kwa sababu kubwa mbili,kwanza kuingiza mashabiki kinyume na mwongozo uliotolewa na CAF, pili ni kwa washabiki wa Yanga kumpiga na kumjeruhi afisa habari wa Rivers United,hayo mengine CAF walitahadharisha tu kwani hayana ushahidi.
 
Kwakua wewe umeshatolewa.
Ungekuwa mfuatiliaji kidogo ungejua mimi niko timu gani, hii nchi yanga na simba ni za kufuta kabisa, hakuna mpira bali maneno maneno tu!!leo timu inapigwa faini imepewa muda wa kujitetea ikaamua kukaa kimya!!wakijindanganya labda ndio dawa, kuna timi hapo bali wahuni tu.kiongozi wa timu pinzani anapigwa rungu?!!
 
Embu intake radhi simba hatuna ushamba.
 
Ni sawa!!wale sio wababaishaji wanachokisema wana uhakika nacho, ni mala ngapi msimu wa mwaka jana timu nyingi zilipokuwa zinakuja kucheza na simba zilikuwa zikilalamika juu wa uhuni unaofanyika kwenye vyumba vya kubadirishia nguo?tatizo la nchi hii kuna ushabiki MANDAZI, mimi nikiisema simba naonekana mi ni yanga, na nikiisema yanga vibaya naonekana simba!Ni video ngapi mwaka jana zimeonekana simba wakipulizia dawa kwenye vyumba va wapinzani??achana na ligi ya ndani watu kuamini zaidi ushirikina hadi timu kuruka ukuta wa uwanja, Tff wapo tu, eti timu inalipishwa laki 5!!kata point 3, uone kama kuna uhuni huo tena.
 
Ungekuwa mfuatiliaji kidogo ungejua mimi niko timu gani, hii nchi yanga na simba ni za kufuta kabisa, hakuna mpira bali maneno maneno tu!!leo timu inapigwa faini imepewa muda wa kujitetea ikaamua kukaa kimya!!wakijindanganya labda ndio dawa, kuna timi hapo bali wahuni tu.kiongozi wa timu pinzani anapigwa rungu?!!
Mkuu, hizi timu zetu zimedekezwa sana na FAT/TFF. Zimeshalemaa. Wao ndio wanafanya wanachotaka. Wakitoka nje, wanalazimika kufuata mstari!
 
Embu intake radhi simba hatuna ushamba.
Sasa kupulizia madawa kwenye vyumba vya wapinzani wako, si ndio ushamba wenyewe huo!!!kupita geti lingine , kuruka ukuta wa uwanja si ndio ushamba wenyewe huo?!!na kwa timu hii ya kuunga unga uliyonayo msimu huu, mbona tutashuhudia mengi!!!
 
Mkuu, hizi timu zetu zimedekezwa sana na FAT/TFF. Zimeshalemaa. Wao ndio wanafanya wanachotaka. Wakitoka nje, wanalazimika kufuata mstari!
Shida inakuwa hapo na CAF, wanataka kuilinganisha na TFF!!mtu analetewa mashiktaka ajibu , ana amua ku mute!!anakula rungu la kichwa(faini)anaanza kujitetea ili kuwahadaa mashabiki wao kuwa wameonewa, na kweli mishabiki nayo inakuwa upande wao!!pesa inalipwa basi.
 
Simba sio tu ni timu kubwa bali ni timu yenye nidhamu kupita zote za hapa nchini tz.
Ila ipo kama mtoto wa kambo, anasubiriwa afanye vibaya ndio asemwe na vyombo vya habari vya hapa tz.
Hawezi kusifiwa anapofanya vizuri
Kweli mkuu hata ile kupulizia dawa vyumbani wameacha siku hizi
 
Shida inakuwa hapo na CAF, wanataka kuilinganisha na TFF!!mtu analetewa mashiktaka ajibu , ana amua ku mute!!anakula rungu la kichwa(faini)anaanza kujitetea ili kuwahadaa mashabiki wao kuwa wameonewa, na kweli mishabiki nayo inakuwa upande wao!!pesa inalipwa basi.
Huku kudekeza timu, angalia sababu ya timu moja, kusogezwa mbele kwa wiki moja mchezo wao. Ni mwanzo tu wa ligi yetu kuanza!
 
Weka
Yanga ndio kwanza mwaka huu ameshiriki michuano mikubwa, lakini mbona CAF, wametoa onyo kwa uhuni unaofanywa na timu za Tz, kwenye vyumba vya kubadirishia nguo, kuwa kuna dawa zimekuwa zikipulizwa?na ushahidi upo wa video SIMBA, wakifanya hayo!!!tatizo letu chama cha soka kinaziogopa sana hizi timu mbili!!kama vipi wapige ban tu mechi zote za virabu zichezwe nje,
weka huo ushahidi hapa la sivyo ni umbea na uchochezi
 
Back
Top Bottom