Malezi mabovu humfanya mtu awe na dharau kwa watu wengine!
Mwanzoni Manara alikuwa anaitendea haki kazi yake. lakini kwa nilivyomsikia jana sijui alikuwa amekula maharage ya wapi vile? Jana nilishindwa kabisa kumtofautisha na Jeri Muro.
Labda ni hasira za kutowapata hao wachezaji alioenda kutafuta!Na alienda S.Africa kutafuta wachezaji!!
Mwanzoni Manara alikuwa anaitendea haki kazi yake. lakini kwa nilivyomsikia jana sijui alikuwa amekula maharage ya wapi vile? Jana nilishindwa kabisa kumtofautisha na Jeri Muro.
Kufuatia mkutano na waandishi wa habari jana,Mkuu wa kitengo cha habari cha simba sports club,sanday manara kutawaliwa na jazba na hasira,na kutoa majibu ya hovyo kwa waandishi hao,kitendo hicho kimeidhalilisha tiny yetu ya simba na kinaweza kupelekea timu ikasusiwa habari zake kuandikwa.hukutakiwa kuwafokea waandishi hata kama hukufurahishwa na maswali yao,badilika kijana
Manara anamuiga Muro shida inaanzia hapo ndo mana kila siku anazidi kupoteza, kwanza simba inamaana hawana watu wa scout iweje msemaji wa timu akatafute wachezaji, halafu msemaji huyo huyo anachagua maswali kwani ye si ndo msemaji anataka nani mwngine aisemee club
muro kazidi ukanjanja zaidi
Mwanzoni Manara alikuwa anaitendea haki kazi yake. lakini kwa nilivyomsikia jana sijui alikuwa amekula maharage ya wapi vile? Jana nilishindwa kabisa kumtofautisha na Jeri Muro.
Kufuatia mkutano na waandishi wa habari jana,Mkuu wa kitengo cha habari cha simba sports club,Haji manara kutawaliwa na jazba na hasira,na kutoa majibu ya hovyo kwa waandishi hao,kitendo hicho kimeidhalilisha tiny yetu ya simba na kinaweza kupelekea timu ikasusiwa habari zake kuandikwa.hukutakiwa kuwafokea waandishi hata kama hukufurahishwa na maswali yao,badilika kijana