Kwa hili, Messi na Mashabiki wako mnatudanganya sana

Tutajie hizo timu kubwa ambazo hadi zifungwe na Messi ndiyo umkubali.
Nikukumbushe tu huu ni mwaka wa 5 barcelona na messi wake hawana uefa na shida ni dafeat from teams like Liverpool Roma na Juve Na Atletico madrid kama messi angekuwa na great perfomance dhidi ya timu kama hizi nafkiri tungeshuhudia uefa hata 1 isitoshe 2015 unajua ukwel bila neymar wasingeshinda na bado sionei 2011 na 2009
 
Mkuu kuhusu boateng naona hama point apo kwamba kupigwa kijoka cv inashuka? Nafkiri unalifahamu goli maarufu la Jay Jay Agustin Okocha dhidi ya Oliver khan alivochukukiwa niambie ulisikia wapi heshima ya oliver khan imeshuka?????? Sitaki kuongea bao la diego maradona alivyosepa na kijiji toka katikati ya uwanja dhidi ya ujerumani apo vipi tena??????? Bado kina Gaucho so sioni point yako
 
Sir ALEX Ferguson aliwahi kusema ukitaka kushinda ligi hakikisha hizi mnazoita timu ndogo ukikutana nazo unapiga unachukua point unatulia,,, hawa wakubwa wewe tafuta draw au shinda.
Sasa kuna tabu gani messi akifunga hizo timu ndogo lkn hapo hapo Barca ikifungwa mnageuza kibao barca imeisha inafungwa na timu inayoshika mkia. Ni kweli barca ipo kipindi kigumu na kama vile generation yao imeisha sasa.
 
Nabii kibonge ukimaliza naomba unichambulie stats za CR7 akiwa juventus magoal 31 penalty ngapi na assist ngapi na free kicks ngapi na header ngapi
 
Sawa shinda mechi ndogo ila unadhani UEFA utachukua kwa kuzifunga hizo timu ndogo???
 
Katika iyo 5 0 messi hakufunga goli lolote angalia data yako vizur
 
Labda nkukumbushe tu barca baad ya kufanya iyo comeback hatua ilofata alkutana na Juventus akala 3-0 on aggregate sasa huo ubingwa albeba vp akat altoa robo? na 2015 unasomea ndo barca alkua bngwa na almpga huyohuyo juve
 
Katika iyo 5 0 messi hakufunga goli lolote angalia data yako vizur
Ni kweli hakufunga ila nasemea madrid ilikuwa shake kipindi hicho isitoshe hata kabla ya hapo kwani madrid ilikaa zaidi ya miaka 9 bila uefa na kwenye ligi bado ilikuwa tabu tupu
 
Labda nkukumbushe tu barca baad ya kufanya iyo comeback hatua ilofata alkutana na Juventus akala 3-0 on aggregate sasa huo ubingwa albeba vp akat altoa robo? na 2015 unasomea ndo barca alkua bngwa na almpga huyohuyo juve
Nmekosea apo mkiu nshafix
 
Sasa mkuu miaka 33 hawezi kufanana na umri wa 20+
Lakini mkuu huoni jinsi anavyoimbiwa mapambio na mashabiki wake kwamba kila kitu ni yeye. Ifike hatua tuseme tu ukweli jamaa kadrop kiukweli
 
Shake af una Ronaldo,Ozil,Khedira,Ramos na wengn kbao??
Hata madrid ya Figo, Zidane , De Lima, Guti ilifanya nini mkuu? Kuwa na watu sio case bado umesahau kina Falcao di maria Depay na Rojo( enzi hizo toka argentina) ilifanya nini?
 
Usiwe mbish cku nyngne wengne soka ndo chakula chetu limelala apa hundangany ktu
Sawa point yako nini data correction kitu cha kawaida kila mtu anakosea af kukosea info 1 kati ya 1000 haimaanishi hujui mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…