Kwa hili, Messi na Mashabiki wako mnatudanganya sana

Maradona kafunga magoli 100 Tu huko Napoli..
Messi anafunga magoli 700 unaleta story za maradona?

Enzi za maradona hata kupaki basi ilikuwepo?
Enzi hizo pia Two footed Tackle ilikuwa Si foul, mechi moja unakwatuliwa hata mara 10, mtu anachezewa rafu hadi anaamua mwenyewe kutoka uwanjani.
 
Enzi hizo pia Two footed Tackle ilikuwa Si foul, mechi moja unakwatuliwa hata mara 10, mtu anachezewa rafu hadi anaamua mwenyewe kutoka uwanjani.

Duh leo ndo first time nimeona Chief Mkwawa
Uko jukwaa tofauti na tech..

Anyway na offside pia ilikuwa hakuna?
Imagine Messi kuwe hakuna offside angefunga goli ngapi?
 
Duh leo ndo first time nimeona Chief Mkwawa
Uko jukwaa tofauti na tech..

Anyway na offside pia ilikuwa hakuna?
Imagine Messi kuwe hakuna offside angefunga goli ngapi?
PElle ndio hakuwa na Offside, Maradona wa juzi juzi, kastaafu mpira 1997. Amecheza miaka ya 80 mpaka 90 sana.
 
Wazee wa team Messi mlinitukana sana na leo nakuja na kile kile baada ya mechi ya bayern na badobtitashuhudia mengi zaidi[emoji1787][emoji1787]
 
Ronaldo ana Magoli ya penalties mengi watu wamembadili jina wanamwita, Penaldo
 
Kumbuka he is 33 now, amekuwa kwenye peak zaidi ya 10 yrs. Mechi ama msimu mmoja huwezi conclude kwamba Messi hastahili.

Kama ww kweli unajua soka na umekuwa ukiangalia soka Messi anakuwa moja kati ya greatest footballers 5 wa muda wote duniani.

Ballondor 6 siyo za bahati mbaya. Kumbuka ni sita. Mpe heshima yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…