Tamko la mwenyekiti wa tume huru ya uundaji wa katiba mpya nchini Tanzania mheshimiwa jaji joseph Warioba ni kuangalia kwa makini sana, katika kujibu hoja mbali mabli za wadau juu ya mashaka na maswali wanayoyaelekeza kwa tume hiyo amesisitiza kuwa hakuna mawazo ya mtu mmoja siyo rahisi kuyafanyia kazi, na watu wasishangae kuona kuwa siyo kila jambo ambalo walipendekeza kwa kutume huru italifanyia kazi; Kwanagu mimi hilo siyo jambo la kushangaza na kwa watu wengine wanao amini katika katika mfumo huru wa kidemokrasia unao ruhusu mawazo ya walio wengi kusikilizwa na kuheshimiwa.
Wasiwasi wangu kwa mh. Warioba nianye amini anaheshimu demokrasia kwa maana ya mawzo ya wengi unatokana na kauli tata anazozitoa tangu mwanzo wa kazi ya kazi ya tume hasa katika mambo muhimu ya mshikamano wa taifa letu ambayo hasa ndiyo yanayofanya kuwepo manunguniko na madai ya kuona kuwa katika tuliyonayo sasa hakidhi dhima na matakwa ya watanzania wanaoishi katika karne ya 21 yenye mapinduzi na mageuzi makubwa ya kisiasa(demokrasia) yanayoongozwa na sayansi na teknolojia ya mawasialiano jambo kila mtu wa dunia hili hawezi kulipinga. Baadhi ya kauli ambazo ametoa zenye utata ni kusema TUME LAZIMA IFANYE MAAMUZI MAGUMU huku akionekana kushadidia katika masuala ambayo yanaleta minongono mingi kama suala la MUUNGANO hasa kwa maoni ya wale ambao hawautaki huku akisahau misingi ya demokrasia kuheshimu mawazo ya watu maana hatuna takwimu za maon ya watu ambao hawataki muungano, lakini tangu mwazo demokrasia imekuwa ikikwamishwa kuchukua uwanja wake kutokana na sheria ya marekebisho ya katiba ambayo ilidhibiti uhuru wa watanzania kutoa maoni yao hasa juu ya suala muu ngano huku ikitoa mwelekeo wa mawazo ya watu kwamba lazima kwanza wakubali kuwa muungano wanautaka na kasha ndiyo wajadili unatakiwa uweje ili kuobresha haya katika uwanja wa demokrasia sheria kama hizi hazina nafasi maana zinabana mawazo ya watu kuwafanya wawaze kadiri ya wao wanavyotaka, maono yangu yangu watu wakibaki na duku duku nyingi kwa muu ngano ambao hawaridhiki nao itakuwa kazi bure ipo siku utavunjika.
Hoja yangu ya pili ni kwa wale ambao wana mlengo wa pili wanao ona muu ngano uwepo ambao ndiyo kipenzi cha watawala walioko madarakani kwa kadiri ya utashi na maono ya serikali inayotawala na wafuasi wake, lakini katika hawa wanatofauti na serikali katika mambo ya jinsi gani muungano uwe hasa katika uundaji wa serikali za kuungoza huu muungano ambao ni kipenzi chake, wapo wanao o na serikali moja itakuwa muarobaini wa matatizo ya muungano hasa watu wa bara hasa huku watu wa visiwani wakiwa na hofu kubwa sana juu serikali moja wakiona muundo huu unalenga kuimeza nchi yao(Zanzibar) ambapo kwao walio wengi wanapendelea kuona serikali tatu yaani SERIKALI YA TANGANYIKA, SERIKALI YA ZANZIBAR NA SERIKALI YA MUUN GANO wakiona huu utakuwa muarobaini wa kuacha kuonewa kwa mujib u wa madai yao na kundi la tatu ndiyo wale MASALIA ama maarufu kama ZILIPENDWA kundi hili ni wale wanao ona SERIKALI MBILI zitakuwa ni jawabu wakimanisha ibaki kama ilivyo sasa huku wakisahau kuwa licha ya kuwa serikali mbili bado suruhisho halikupatikana na watu wa pande zote mbili za muungano wameendelea kulalamikia na kuafanya kila wawezalo kupinga aina hii ya muungano, huku muungano wenyewe ukizidi kuugua ugonjwa usio tibika na serikali ikiendelea kuulinda kwa MATAMKO MAKALI, na VITISHO kwa wasio penda aina hii ya muungano.
HOJA YANGU KWA WARIOBA: Nashindwa kuelewa dhana ya uhuru wa tume anayoiongoza kwa maana je ni kweli tume yake ni huru aiongozwi na matakwa ya MASALIA ? Jibu analo yeye pili je,anaelewa tume yake kuitwa huru kwa misingi ya demokrasia ni kuiepusha na wenye mamlaka (DOLA) na anaweza kutuhakikishia hilo ? Kama ndiyo iweje anasema juu ya MAAMUZI MAGUMU, huku akisahau maoni ya watu ndiyo yatumike katika kufanya maamuzi kama msingi wa utawala bora na tabia ya demokrasia? Hoja nyingine anaonekana kukili kuwa katika kuunda mabaraza ya katiba sheria imezingatia uhuru wa tume na kuichia mamlaka tume ipange utaratibu ambao utatumika kuunda mabarza ya tume iweje leo anakili kuwa uchaguzi katika undwaji wa mabaraza ya tume umegubikwa na UVYAMA NA UDINI, swali hapa ni je, mh. Warioba wewe ni mgeni katika nchi hii mpaka ushindwe kuelewa mfumo wa serikali za mitaa UNAEGEMEA UPANDE MMOJA mpaka ukaruhusu utumike ? Pili je, kama mtu makini amabye unajua na kuona hali ya upepo wa mambo ya UDINI na utawala ambopo kwa kila mtazanzia aliye makini kama wewe tulivyotegemea ukuliona hili mikutano na shutuma mbalimabli kutoka pande zote zikishambuliana juu ya seriakli zilizopita na hii inayoongoza kuhusiana na dhana ya upendeleo ili uko wapi umahiri wako kama ukuweza kuepusha minongono na shutuma zinazoelekezwa kwako? Na nini utasema iwapo tutasema UNAFANYA KAZI KWA MAELEKEZO YA MASALIA AMBAYO NA WEWE NI ZAO LAKE...utaweza kujinasua na hizi tuhuma?
USHAURI WANGU; mimi siyo mtaalamu sana wa mambo ya kisiasa wala sheria lakini ninayo elimu ya uraia ya kutosha kuona na kujenga hoja ya kumchalenji professor kwa mambo yanayo husu elimu ya uraia hasa kwa kutumia zaidi ukweli na uhasia wa mambo kama yalivyo katika jamii husika, mh. Jaji Joseph Warioba unautumishi uliotukuka katika historia ya nchi hii ila katika hili la katika mpya usipo kuwa huru kama tume yako inavyotakiwa kuwa huru ipo siku historia ya nchi hii itakukumbuka kwa mabaya badala ya mazuri, sasa hivi ni zama za kuruhusu ukweli uchukue nafasi yake NYEKUNDU ITABAKI NYEKUNDU NA NYEUPE ITKUWA TU NYEUPE, tunza sifa yako ya kuwa mtu makini katika kufanya kazi kwa uangalifu mkubwa kuepeuka fedhea ambayo inaweza kukupata muda mrefu hasa baada ya kuja kubainika katiba mtakayo waletea watanzania ni mbaya zaidi ya ile tunayoikataaa .! MUNGU IBARIKI AFRIKA .MUNGU IBARIKI TANZANIA .