J jamzai Member Joined Feb 18, 2013 Posts 67 Reaction score 55 Aug 16, 2014 #1 Uongozi wa chuo umepandisha ada ikiwa ni tofaut na mchanganuo uliopo kwenye fom yao ya kujiunga na chuo. Naomba kujua utaratbu wa kupanda kwa ada vyuo vikuu.
Uongozi wa chuo umepandisha ada ikiwa ni tofaut na mchanganuo uliopo kwenye fom yao ya kujiunga na chuo. Naomba kujua utaratbu wa kupanda kwa ada vyuo vikuu.