Kwa hili nililoliona leo, naomba niilaumu Serikali kidogo. Nimehuzunika sana

Kiduku Lilo mbona jina lako liko ki uswazi uswazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Nmemuuliza jamaa yangu anayejenga huko kwa nini ameenda kujenga nje ya jiji?mbona kuna viwanja vingi tu maeneo hata ya mbezi beach kwa milion 100-300 angepata kiwanja kizuri? Hata Masaki kuna watu unaweza wahamisha ukajenga nyumba sehemu nzuri".

HII SASA TOO MUCH BOSS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1544][emoji1544][emoji1544]
Threads zako huwa zinanitamanisha nikuone siku moja hata kwa bahati mbaya[emoji847]
Mtu unaishi maeneo ya kipato cha chini kama mwenge, kijitonyama nk . Utamuona wapi boss kubwa kiduku lilo mtu wa osterbay, masaki na posta ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usimshangae jibu liko wazi kuhusu yeye, ukisikia mtu, anapiga nyeto, jua anaishi kwa hisia.

Hivyo usistuke hisia ni kama ndoto vile, yeye kumiliki au kuona hali aliyoitaja, ni sehemu tu ya hisia zake kama anavyowaza mwanamke mzuri wakati wa nyeto.
Haya maisha haya!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee jamaa jinga kabisa! Kwani wewe kwenu wapi? Isije ikawa ni mkimbizi!
Huyo anatembelea daladala hata hizo gari alizotaja anaziona barabarani tu, mtu ambaye anapesa na maisha ya juu huwezi kukuta anaandika ujinga kama huo
 
Sure. Nlikuwa nawafundisha wazungu kucheza nikawa nawaambia hii style inaitwa kiduku. Nikawa nacheza funk na kuchanganya na kiduku ndo nikawaambia a little kiduku na funk.wakawa wanaita lilo kiduku.mimi nikageuza na kujiita kiduku lilo.


Sababu napenda sana kiswahili.kama bongo zozo.unajua sisi tuliokaa sana nje hatubabaiki na ukoloni wa majina.

Kiduku Lilo mbona jina lako liko ki uswazi uswazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…