fuqu
New Member
- Jul 4, 2020
- 1
- 1
Maisha haya achaa tu
Tokea nimenunua ka vx8 nakutana na mambo ya ajabu sana juzi natoka zangu nyumbani naelekea shambani na gari langu mpya aina ya vx8 kwaajili ya kwenda kubebea mihogo na mkaa maana gari kama hizi kwenye familia yetu huwa hatutembeleagi kwahiyo naitumiaga tu kwa safari za shambani nikiludi huwa naipark
Basi ilikuwa mida ya saa tano hivi asubuhi nimeanza safari nimetembea kama nusu saa hivi mara kukaanza kaupepo kwa mbali nikapandisha kioo cha vx nimetembea nafika kwenye pacha nakuta kimbunga kinazunguka hapohapo kwenye pacha nikapiga breki kushuhudia maajabu ya dunia nimesubir kwa muda kidogo maana pana kamsitu nikaona ngoja tu nipite na kweli nikapita katikati ile kupita nakuta msisimko wa ajabu kwenye mwili wangu ile natembeza nakuta kile kimbunga chaanza nifuata nikaongeza spidi nakuta kinakuja kwa kasi woga ukaanza nishika nikisimama kinasimama nikashuka kuanza kukimbia kilichofuata nikajikuta nipo shamba napakia mihogoo