Najua nami yanaweza kunikuta ila nawapongeza PSPTB kwa kubadili mfumo wa kupenda kurudia past papers kwenye mitihani yenu......
Ofcz waliofanya PIV wataniunga mkono kwamba paperz za May 2013 zimekuwa tofauti kabisa hasa katika utungaji kwani lile tatizo la kurudia past papers kwa mitihani ya nyuma limekoma kwenye paper hz